Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,809
- 34,193
Ile unarudi zako home ghafla unakuta mwanao kafungwa hivi na HOUSE GIRL halafu ye anachat. UTAFANYAJE
hapo mtoto anapiga misele kulingana na urefu wa kamba yake
Kwanza vitoto vingi hapo unashtuka kashajifungua zaaamani ukija kushtuka yule anachezea mchangamkuu hata mimi, katoto kangu ni kadogo ila dada hathubutu kukaonea maana kanajua kujisimamia mpaka raha
labda kwa usalama wake..Ile unarudi zako home ghafla unakuta mwanao kafungwa hivi na HOUSE GIRL halafu ye anachat. UTAFANYAJE
View attachment 325047
Kamba inaweza ikajisokotea kwenye shingo ya mtoto alafu ikamnyonga, bora atengenezewe kaboma alafu awekewe midoli mingi ya kuchezea.Unaweza kukuta dada hana nia mbaya....labda anafua ila vitoto kama unavyojua ukizubaa tu kashika hiki ukigeuka kala hiki kwa hio hapo anamfunga ana uhakika jirani yake hamna kitu hatarishi nan yeye anaendelea na kazi pembeni yake.
Kuna kamba special ya watoto huwa inatumika, mtoto anafungwa nantembea mpaka inasiha hawezi kuendelea tena,hii wazungu wanaitumia hata kwenye malls wakiwa na watoto sio nyumbani tu.
Ila ukimkuta kamfunga hivyo halafu yeye anachat na mtoto analia kwa kweli inabidi uchukue hatua.
Kamba inaweza ikajisokotea kwenye shingo ya mtoto alafu ikamnyonga, bora atengenezewe kaboma alafu awekewe midoli mingi ya kuchezea.
alafu utakuta kajamaa kana mpenda huyo dada wakazi balaa,ha haha mtoto anaonekana mtundu sana ukifanya mchezo uanakatuta kapo ndani ya maji .... akinipa sababu inayoeleweka kwa nini kafanya hivyo nitamuonya atafute namna nyingine ya kumlinda