Wataalam wa standard gauge mwonekano huu unatupa picha gani huko mbeleni?

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,233
2,000
kenya
IMG_20180901_101353_704.JPG

tanzania
 
Mr Miller

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
11,193
2,000
hapo chini ni mataluma ya tz ambapo reli itatandazwa pale juu ni ya kenya waonaje mkuu ipi itadumu ipi inaonekana itahimili mikiki ya safari na uzito wa mizigo n.k
mbona ya kenya inaonekana ni mikubwa na mipana kuliko ya TZ au ni angle ya camera tu?
 
silver_back

JF-Expert Member
Jul 2, 2018
839
1,000
kumbe! hebu weka vipimo hapa
Hii ni kutokana na uzi uliopo humu Jf. Maneno haya yaliongewa na mtu wa RAHCO.

20180901_114220.png

Kuuona uzi kamili BOFYA HAPA.

Hii hapa chini ni kutoka website moja huko Kenya.
20180901_114852.png

Nayo unaweza icheki hapa kwa kubofya HAPA. Kisha shuka mpaka sehemu wanasema FACTS ABOUT SGR.

Pia kwa kutumia common sense, Kenya reli yao ni SGR na sisi pia hii ni SGR. Haya sio majina tu ya kuita ili mradi. Ni STANDARDS za kimataifa. Maana yake SGR ya China, ya Dubai, ya Kenya ikija kwenye hizi reli itapita bila tatizo maana viwango mfano vya upana viko sawa. Sio kwamba mtengenezaji wa hizi treni inapokuja kutengeneza au kununua treni kwa ajili ya reli hizi za Tz basi itakuwa ya kipekee sababu ya upana wa reli hii ya Tz eti iko tofauti. Nao ktk utengenezaji wa treni, upana wa 'matairi' ni standard. Sio special order kutokana na upekee wa reli. Reli hizi standard zake kwa nchi zetu lazima zifanane maana miaka ya baadae za kenya zitakuja tz na vise versa na za uganda, rwanda burundi zitakuja huku na vise versa na hizo hizo za kenya zitatoka na kwenda hadi Misri kwa standard hiyo hiyo ya reli.
Hivyo hiyo picha hapo ni angle tu ya mpiga picha. Yaonekana alipopiga Uhuru kamera ilikuwa karibu zaidi.
 
Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,233
2,000
Unatafuta like kwa nguvu mkuu, hivyo vitu vya kitaaalam ishu za ushabiki, siasa na uzandiki peleka Lumumba na Ufipa kama unania thabiti ya SGR yetu peleka maaabara hizo taruma za Tzie na Kenya utuletee mapovu yako sio porojo hapo.
hili povu ulilo mwaga hapa linatosha kutakasa ufisadi wa wanaojiita untouchables huko chamani. Niache kutafuta pesa nitafute likes?
 
Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,936
2,000
Hii ni kutokana na uzi uliopo humu Jf. Maneno haya yaliongewa na mtu wa RAHCO.

View attachment 853261
Kuuona uzi kamili BOFYA HAPA.

Hii hapa chini ni kutoka website moja huko Kenya.
View attachment 853263
Nayo unaweza icheki hapa kwa kubofya HAPA. Kisha shuka mpaka sehemu wanasema FACTS ABOUT SGR.

Pia kwa kutumia common sense, Kenya reli yao ni SGR na sisi pia hii ni SGR. Haya sio majina tu ya kuita ili mradi. Ni STANDARDS za kimataifa. Maana yake SGR ya China, ya Dubai, ya Kenya ikija kwenye hizi reli itapita bila tatizo maana viwango mfano vya upana viko sawa. Sio kwamba mtengenezaji wa hizi treni inapokuja kutengeneza au kununua treni kwa ajili ya reli hizi za Tz basi itakuwa ya kipekee sababu ya upana wa reli hii ya Tz eti iko tofauti. Nao ktk utengenezaji wa treni, upana wa 'matairi' ni standard. Sio special order kutokana na upekee wa reli. Reli hizi standard zake kwa nchi zetu lazima zifanane maana miaka ya baadae za kenya zitakuja tz na vise versa na za uganda, rwanda burundi zitakuja huku na vise versa na hizo hizo za kenya zitatoka na kwenda hadi Misri kwa standard hiyo hiyo ya reli.
Hivyo hiyo picha hapo ni angle tu ya mpiga picha. Yaonekana alipopiga Uhuru kamera ilikuwa karibu zaidi.
Nakazia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom