Kituo Cha Kupokea Umeme Ambao Utatumika Kwenye SGR Yote Kikiwa Kwenye Hali Nzuri
SGR Ikiwa Na Muonekano Wenye Mvuto
Kutoka Dar es Salaam Unapoingia Morogoro
Shida ni nini?
-Elimu (mbona wengine wanaelimu kubwa hata maprof?)
-Uchawa
-Njaa (mbona wengine wanauwezo na ni matajiri kabisa?)
- Ashakum Si Matusi au ni AFYA YA AKILI?