Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!

On JF:

Karibuni humu kutuma picha Yako yoyote ya kuvutia, kufarahisha, pia hata kupunguza msongo wa mawazo. Mfano ukiwa na stress au msongo wa mawazo unaweza kutembea sehemu yenye miti au maua au misitu...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Huwezi ukaenda Kariakoo usikutane na mbongo kavaa jezi hii. Ina siri gani ya kukubalika sana?
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Nimekutana na hii picha inayoonesha barua kutoka kwa mtoto wa kike kwenda kwa mtoto wa kiume! Nimecheka sana! Ila ndo maisha tu.
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Yes! Hapa akiburudika kidogo na Boys II Men. Maisha yalikuwa simpo Sana.👌
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Wamekuja na huu mzigo sijui wameagiza contena ngapi uko china Na baadhi ya wabongo walivyo wapuuzi wata piga kula kisa kapewa kiatu na sio kuchambua sela
3 Reactions
9 Replies
961 Views
Wakuu haya n madini gani?
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu & Wanabodi wa JF. Emu nisiwachoshe. Sina haja ya kuongea sana au kuelezea sana kuhusu hii issue, picha yenyewe tu inaongea zaidi. Ungekua wewe unafanyaje hapa?
7 Reactions
10 Replies
924 Views
Ikikauka itanyooka
11 Reactions
7 Replies
700 Views
Coming soon #weka order mapema! #Unyama mtupu #Ukali kama wote
0 Reactions
8 Replies
811 Views
Elon na kaka yake Kimbal wakiwa pembeni ya Rolls Royce ya baba yao kabla hawajaanza safari ya kwenda shule.
3 Reactions
12 Replies
14K Views
Sub ya maana kabisa hii. ##Usilolijua sawa na usiku wa Giza.
0 Reactions
0 Replies
506 Views
1 Reactions
0 Replies
393 Views
Back
Top Bottom