Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!

On JF:

Eneo ambalo ndege iliyoanguka, kutoka eneo hilo mpaka landing truck ni kama 1km. Mbele ya mabaki hayo ya ndege kuna mti mmoja ambayo unasadikiwa ndipo ndege hiyo ilijigonga na kudondoka chini.
2 Reactions
101 Replies
24K Views
Ni VC wa UDSM. Inaelezwa kuwa ameachana na ubachela na mke wake ni mwalimu wa LT pale Duce. Kila la heri kwao. NB: Vitu hivi havina uzee. Wazee wengine tumieni fursa hii ya Corona maana hakuna...
6 Reactions
43 Replies
10K Views
Ng'ombe akiwa kwenye foleni akisubiri kwenda kuchinjwa. Wanyama pia wanaelewa wanacho tendewa🥺😰😥
2 Reactions
14 Replies
803 Views
Rod Stewart akiwa na mke wake Penny Lancaster, walikua wanahudhuria harusi ya mtoto wa Rod na mke wake wa awali Rachael Hunter. Pamoja na pesa zote lakini Penny ameshindwa kununua decent dress...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
UN ilimaanisha Women's day iwe na wadada kama hawa nyie wengine mnaforce. Credit to CHADEMA Party
13 Reactions
24 Replies
2K Views
Haya ndio Maisha harisi ya huyu mwanadada ameamua kuubadili mwili wake na kujiweka muonekano wa kivampire na ndio chaguo lake na anajiona mrembo kuliko awali
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Alikuwa na utajiri unaokadiriwa kufikia dollar za kimarekani trillion 2.1
11 Reactions
200 Replies
61K Views
Tupia picha yeyote inayoonesha ukichakalika kazini iwe mgodini,dukani,sokoni,ukichunga mifugo,au popote pale karibunipicha: shamba la tumbaku katika moja ya kata mkoani tabora
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Tumsifu Yesu Kristo.... Bwana Yesu Afisiwe.... Tukiwa katika kipindi hiki cha kuelekea Pasaka, tuchukue muda kutafakari Mwanakondoo huyu, Sadaka na Kafara wa ulimwengu kwa ajili yetu, kwa namna...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Story ambazo huwezi kuzikosa hapa -Diamond Freemason -GSM anaharibu ligi ya bongo -Mo Hana Hela -Kiba kuimba live hajui -Yule demu nimepiga Taja Na zingine unazozijua..😂👇🏾
2 Reactions
1 Replies
258 Views
Huu ni ukubwa wa Mti wa sequoia ikilinganishwa na binadamu. 🌲 Kile ukionacho mbele yako sasa ni kiumbe hai kikubwa zaidi Duniani na jitu kubwa zaidi ndani yake.. mti mkubwa wa sequoia. Sequoia...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwenu wajuzi, hii picha imepigwa mkoa gani? Mji gani? Mtaa gani?
1 Reactions
7 Replies
827 Views
African Blackwood, mojawapo ya miti ghali na adimu zaidi duniani. Pia inajulikana kama "dhahabu nyeusi ya misitu". Rangi yake nyeusi kali na ugumu wa kipekee huifanya kuhitajika katika tasnia...
8 Reactions
9 Replies
675 Views
Mastaa walipokutana miaka ya mwanzoni mwa 2000, Mtoto wa Dandu hapo alikuwa star sana, bahati mbaya alifariki kwa ajali ya gari.
2 Reactions
3 Replies
541 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…