MAJED ELMALK, raia wa Saudi Arabia, ambaye hivi sasa anashikilia rekodi ya dunia ya kuweka mdomoni nge wengi zaidi, anaonekana akipigwa picha mjini Riyadh siku ya tarehe 22 Januari mwaka huu akiwa...
Wakuu mu-hali gani...? ebwana katika tembeatembea yangu ya huko hewani nimekutana na hizi photos, ambazo zinaonekana ndo best photos for the last decade...Nimeona tushirikishane wakuu!