Umenichekesha sana na cartoon hii.To me hilo ni wazi kuwa ktk mambo yasiyo na maadili mazuri kwa jamii twayavalia njuga hadi kufaulu kwa kiasi hicho, ukitupeleka kwenye kabumbu,mbio nk wachezaji hutelekezwa na hata mlo wao kuwa wa wasiwasi hadi huugua matumbo.WanaJF, je mlengwa ni nani katika cartoon hii..
![]()
Picha kwa hisani ya haki-hangingowi blog.
SteveD.