mnyama gani huyu??

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,125
204
animals_never_exist_01.jpg

animals_never_exist_02.jpg

animals_never_exist_04.jpg
 
Hiyo kazi ya photoshop mkuu, pamoja na kuwa inawezekana miaka kadhaa ijayo kukawa na wanyama wa aina hiyo waliotegenezwa kwenye maabara au kutokana na natural selection ya bwana Darwin
 
waangalie vizuri
Picha zipo chini ya Funzug.com then bado unashika kibendera! Jaribu kukua. Ingependeza mazagazaga ya aina hii yakawa chini ya thread moja, na sio kila siku kuja na photoshop zenu katika thread mpya!
 
Picha zipo chini ya Funzug.com then bado unashika kibendera! Jaribu kukua. Ingependeza mazagazaga ya aina hii yakawa chini ya thread moja, na sio kila siku kuja na photoshop zenu katika thread mpya!
mbona mkali kaka?
 
unajuwa watu kama nyinyi wa CCM mnakuwa wakali sana kibunango nena kangombee Ubunge kiti cha Cm huko kwenu utapata nakushauri wewe
Hivi kuna tatizo gani kwako na vijana wengine wenye kupost photoshop hapa, kuanzisha thread yenye kichwa kama; Fun Pics, just for fun etc? Badala ya kuja na thread mpya kila siku zisio na kichwa wala mguu?

Thread nyingi miongoni mwenu zina nafasi kubwa zaidi kwenye ukumbi wa jokes kuliko hapa.
 
sawa kada wa CCM nimekuelewa lakini hapa ni mahali pa Pcha sio mahali pa kulaumu Mr Kibunango jaribu kumshauri anaye husika na suala hili hapa ni picha tu hatutaki picha za matusi upo Kada Kibunango?
 
sawa kada wa CCM nimekuelewa lakini hapa ni mahali pa Pcha sio mahali pa kulaumu Mr Kibunango jaribu kumshauri anaye husika na suala hili hapa ni picha tu hatutaki picha za matusi upo Kada Kibunango?
Nimefahamu vema, huu ni ukumbi wa picha, picha ambazo zinalenga kutoa ujumbe muafaka kama kuelimisha na taarifa na sio picha zilizorekebisha ili kukidhi haja ya mrekibishaji. Picha za aina hiyo hazina pingamizi iwapo zitakuwepo kwenye thread moja, ambayo itakuwa na mtiririko wa aina hizo za picha.

Kwa mfano nini maana ya thread hii na swali lake? Unaweza kujibu ni aina gani ya wanyama ama ndege hao kwenye bandiko hili? Nini lengo lake?
 
Back
Top Bottom