Kushoto ni gfsonwin akiwa ametupia kiwalo cha blue akifuatiwa na lara 1 akiwa ametupia nyeupe
na kulia ni Tetra, nyuma ya Tetra tunakutana na Zinduna akiwa anafuata step akifuatiwa na Madame B.
KUNA wake na wapenzi wengi wa wachezaji soka maarufu duniani, lakini mtandao wa SunSport umetoa picha 10 za wanaoonekana kuwa wakali zaidi ya wenzao.
Mwanamitindo wa kirusi, Irina Shayk mchuchu...