Ndo hivyo 2005 tuli ahidiwa maisha bora kwa kila Mtanzania, yamekuwa ndoto za alinacha wao wanaruka anga kwa anga wanabadilisha ndege kama nguo kila kukicha, malipo hapa hapa duniani.
Baraza la Mazingira (NEMC) mpo?.
Utadhani ni anguko la barafu Ulaya, lakini ni umwagaji wa Maji Taka (hazadous/ industrial waste) unaofanywa na viwanda katika Mto Msimbazi. Mapovu haya japokuwa...
Masanii wa kundi la Ze Komedy Master Face akiwa na mmoja wa wasichana hao.
Hapa msanii Kiwewe akiwa amewakumbatia wabint hao kabla ya kuingia nao kwenye maji...