Mtoto wa Ki-Iraq amempoteza Mama yake ameuliwa ameamuwa kuchora Picha inayofanana na Mama yake ili ajihisi yupo pamoja nae amemkumbati ili apate usingizi. Inasikitisha na kuhuzunisha sana hii...
Nilihudhuria ufunguzi wa Kanisa la KKKT Mabibo External jumapili hii.
Kwa kweli wamejitahidi sana na kanisa linapendeza.
Askofu Dr Alex Malasusa ali endesha misa na kuliweka kanisa wakfu.
Kati ya...
Young Nucho is a south african rapper and a weezy lookalike. Huyu jamaa alitoaga wimbo unaitwa AM NOT WAYNE baada ya mashabiki kua wanamfananisha sana na lil weezy (thou ni kama anacopy kila kitu...