Muvi mpya ya aksheni ya kibongo ipo mbioni.
Starling ni Mzee magari na Kitime. inaitwa 'kutakapokucha'
imechezwa na profeshno wa kupigana(kama unavyoona pichani)
Nimekuibia tuu behind the scene.
Baadhi ya mitaa ya Jiji la Dar Es Salaam na muonekano wake katika picha.
Kutoka MnaziMmoja kuelekea City Centre.
Viwanja vya MnaziMmoja.
Picha kwa hisani ya simu ya Mchina.
HAYA MADAWATI NA VITI VYAKE NI KUDANGANYANA TU HAVINA UBORA WA AINA YEYOTE TUNAOMBA
MAGEREZA WAPEWE KAZI HII KWA NCHI NZIMA VITENGENEZWE VYENYE UBORA NA HAO WANAO TOA
DONATED HII HAWAONI KWA...