Siku ya wapendanao unamsaprize Mama watoto na hichi kitu usiku unavisha akiamka anakutana nacho shingoni au zile za fumba macho nikupe zawadi anafumbua tu anakutana na mkufu wa namna hii.
Kama unakumbuka ile kashifa iliomkumba wakati huo Rais Bill Cliton ya kuwa alikuwa na mausiano na Bi monica Lewinky sasa imeibuka nyingine kwamba anamauziona na alikuwa na mausiano na bi mdada...