habari zenu wadau! Excel mtoto wa mchungaji yuko nyumbani rasmi!
hapa ni zizini kwa ng'ombe wetu!
najiandaa kuelekea machungani... nimechelewa kidogo wadau!
enjoy the view...!
Picha hii ni siku ambayo Pope John Paul II alipopigwa risasi na Mehmet Ali Agca katika Viunga vya St Peter's Square.Na Badae aliweza kumsamehe nasi tusamehe wabaya wetu katika kipindi hiki cha...