Ikiwa ni kijizatiti ili amani kenya isitoweke tena Polisi kenya wameanzisha kitengo maalum kwa ajili ya kuhubiri injili. wakiwa stage hiyo ni sawa na wakiwa lindo. Serikali ndiyo ilianzisha...
Wale askari maaufu kama "kamua kamua" waliomkamata Tized sasa wamesambaa mjini hapa. Mr Rocky unategemewa kuielekeza Team Bazazi kuwa Jeshi limeamri punde ukamatwapo tuu fine zote zikalipiwe...