Wakuu,
Pamoja na Sanamu kutoongea au kufanya vitendo,binadamu wamezipa uhai na kuzifanya zionekane kama zinafanya matendo mbalimbali,kama vile kuongea,kukimbia,kutumia simu nk.
Lengo ni...
Buyu kijana nilimjua kupitia BBC amefanya jambo ambalo ni wachache sana wanafanya. Nilichopendea hii picha sio jinsi JPM anavyoonekana ni jinsi alivyoweza kuchora shati lake na kulipatia.
Kuna...