Kwetu Iringa hii tunaita Lager,Kijana akiwa juu ya gari lililopakia kinywaji chenye viwango tofauti,Mfano ulanzi wa Leo leo tunauita MTONGWA,na ukilala siku moja kosa alc vol inaongezeka Unaitwa...
Tabia Za watu wanaovaa nguo Kubwa
kuliko maumbile yao: huwa ni Wakorofi,
wenye jazba, wakujichukulia sheria
mkononi, na huwa wanavuta sigara kali
(bangi) #japosiowote aina hii ya watu...