Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula aliyekwenda kumjulia hali katika hospitali ya John Hopkins iliyopo Baltimore, Maryland, nchini...
Mheshimiwa Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alifanyiwa upasuaji wa Tezi Dume katika Hospitali ya John Hopkins iliyopo Baltimore Maryland nchini Marekani upasuaji ambao ulimalizika salama. Msiwe na...