Balozi wa Urusi nchini Poland Sergei Adreev na maafisa Ubalozi walioambata nae walikumbana na nguvu ya umma kutoka kwa waandamanaji wanaoiunga mkono Ukraine baada ya kumwagiwa rangi ya damu...
New York City, 1941;
Askari akimuaga mwenza wake kwa mara ya mwisho muda mfupi kabla ya kwenda kupigana vita ya pili ya dunia mara baada ya likizo yake kukatishwa ghafla kufuatia mashambulizi...