Tunampenda sana Rais wetu wa tano mtukufu wassira na ndio maana akikosea kufunga vifungo watu tunamind sasa kumbe hadi ka kifungo cha shati nacho..duh sijui kamekatika, itabidi sheria ngowi...
Le Mutuz in 1999 at downtown Manhattan New York City/USA with my people from left:- Steve Mkapa + Simbo + Le Big Show + Bandawe + Alfred Magani live!! - Le Mutuz.
Njiuliza hapa Mbunge wangu Peter Serukamba alikuwa anaambiwa nini na Esther Bulaya na yeye akawa anawaza nini? kawaida unapomsikiliza mtu kwa makini unamwangalia usoni. Huyu Serukamba alikuwa...