Muswada uliopelekwa Ijumaa bungeni kulikuwa na malumbano juu ya MAAFA na HALI YA HATARI na tofauti zake. Jee haya yaliyolikumba jiji la Dar es Salaam yana paswa kuwekwa kwenye kundi gani?
Siri muhimu ya mafanikio ni Amani ktk familia yako.
Hakikisha mke/mume na watoto hawana kinyongo na wewe.
Washirikishe family yako kama umepata au umekosa.
Sio ukikosa unarudi nyumbani umenuna...
Aliyekuwa Katibu Mwenezi Kata ya Olorien,mkoani Arusha kupitiaa chama cha CHADEMA,Prosper Mfinanga akivua sare za chama chake kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya leo,akiashiria kukihama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.