MICHANGO ISHAANZA KIDOGO KIDOGO KWA UKAWA
Hii ndiyo kazi ya chadema fedha za ruzuku zote zimeliwa na wanazidi kuwakamua wanachama wao kwakuwaaminisha kuwa chama masikini wakati ruzuku tuu...
MAMA SAMIA AISAMBARATISHA ARUSHA, UKAWA BAI BAI..............
Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Kampeni Arusha akiungwa mkono na viongozi wengine pamoja na Wanachama.
Magufuli Apokewa kama MFALME => CHUNYA
CHUNYA MGUU PANDE MGUU SAWA KWA MAGUFULI
MAKONGOROSI, CHUNYA. Ni mapokezi ya aina yake kwa Mgombea Urais wa CCM Ndugu Dr John Magufuli
Ona Mafuriko yalivyo ikumba Mwanza. Hii ni rasha rasha, tukisubiri kimbunga cha Tinga Tinga.
MWAKA HUU WATAISOMA NAMBA.
NAPE NA LUSINDE OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE