1. Kuchukua fomu na kutafuta Wadhamini.
Dar es Salaam
Dar es Salaam
Mwanza
Mwanza
Mbeya
Zanzibar
2. Uzinduzi wa Kampeni
Dar es Salaam
Safari itaendelea...
Kama walivyokutwa na piga picha hao ni wanafunzi na wanavyuo huko maeneo ya nyamongo wakipelekwa kwenye mkutano wa ccm kwa usafiri wa kubebea mizigo na ngombe
Kweli acha wenzetu waendelee maana sisi tumekalia kujaza masandarusi na malboro na salfeti. Hii nchi aliyetuloga sijui alizikiwa wapi tukamfukue tumuulize,,
Dr Slaa aliwambia mwaka 2010 kuwa...