Baada ya mahasimu wawili kuwekwa kwenye category moja katika tuzo za kimataifa za AFRIMMA...na mshindi kujulikana hakuna haja ya kubishana nani mkali kati ya Plutnumz&Kiba
‪#‎TUJIKUMBUSHE‬ Mbowe na Mtei walamba mabilioni kuiuza Chadema. Kuna waliopoteza uhai wao kupigania ajenda ya ufisadi ambao ilikuwa mhimili mkuu wa Chadema. Haya ndo malipo yao...
Nimefurahishwa sana na hawa watu maarufu Tanzania kuwa mbele kwenye siasa za nchi yetu. Nimefurahishwa zaidi kuona wanataka mabadiliko ya kweli na sio bora mabadiliko..! Hongera Wema na Diamond.!
Huyu ni Vladimir Putin akipiga push ups
Huyu ni Barack Obama akipiga push ups
Huyu ni John Magufuli akipiga push ups
Huyu ni Edward Lowassa akisaidiwa kupanda ngazi za jukwaa
Picha hizi ni...