Hii ndio hali ya Johannesburg, Afrika ya Kusini. Tusipochukua hatua za haraka na madhubuti, hali hii itafika kwetu, tunamuomba Mwenyezi Mungu SUbhana Wataala atunusuru.. TUMUOMBE MUNGU ATULINDIE...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris wakati akiwasili kwa ajili ya Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam...
Baada ya wiki 2 za kazi nguvu ya wananchi Ili tamalaki:
Wanakwenda mezani kukiwa hayupo mhalifu wa kwenye mapambano.
Ama kweli Odinga baba lao:
“In view of the foregoing, we stand down...