Natafuta "Africa Peer Review Mechanism -Country Review Report Tanzania".
Not sure kwamba hii review haijafanywa Tanzania au imefanywa lakini ripoti haipatikani katika website yao hapa...
Baada ya salamu nina ujumbe kwenu: Stand down. Makuwadi na vikaragosi vyenu viambieni virudi nyuma. Miti mingine haikwewi na milima mingine inatosha kuiangalia kwa mbali tu. Mlifanyalo lifanyeni...
Tunawashukuru kwa mwitikio wenu lakini kwa hakika mmetupa kibarua kipya kabisa na kazi imekuwa ngumu katika hiyo ripoti. Kutokana na ongezeko kubwa la watu wapya ambao wangependa kupata ripoti hii...