Kwa takwimu ambazo hubadikikabadilika kulingana na mazingira, watu 150000 hufariki kila siku hapa duniani au kwa maana rahisi kila sekunde moja watu wawili hupoteza uhai.
Kifo umekuwa ni gumbo...
Hi everyone.
Katika kitabu cha Wafalme (1Fal 7:23-26), tunasoma kuwa Mfalme Sulemani aliagiza mtu mmoja aitwaye Hiramu kutoka Tiro, kutengeneza beseni(?) kubwa la maji (mfano wa mcheduara) kwa...
wana intelligence huku Rungwe jama gari za jeshi ni nyingi mno, kuna malori zaidi ya JWTZ ZAIDI YA HAMSINI yanaelekea kyela kunani wadau, wenye taarifa kamili mtujuze..
Habarg Za Muda Huu Wadau. Niende Moja Kwa Moja Kwenye Mada. Miongon Ma Maswali Nilio Kosa Majibu Nkuhusu Nguvu Iliyokuwepo Kwene Macho Ya Binadamu Anapo Mtazama Mtu Na Kumdhuru Au...
Nimetoa angalizo hapo maana hutashindwa kuniuliza MUNGU ni nani. Napitia bible kila siku, na sijapata maana ya mti wa katikati ambao ADAM na HAWA walikatazwa kula. Je ni mti gani maana nikijenga...
Je, unakijua kipaji au vipaji vilivyopo ndani yako?
Moja ya swali ambalo watu wengi huwa wanauliza ni jinsi ya kugundua wao wana vipaji gani.Wakati wa utoto unaweza kuwa ulionesha vipaji vyako...
Habari ndugu zangu. Hii ni elimu ambayo ningependa kushare kwa watu tofauti na kwa wengine ambao wanaifahamu. Ni elimu ambayo huwezi kuipata mashuleni bali kupitia ujuzi wa walioweza kufanya...
Naombeni kujua kama mwezi (moon) unakua na sehemu maalumu yakutokea, mfano jua linatoka mashariki na kuchwea magharibi. Vipi kuhusiana na mwezi, je, kuna mwelekeo wowote?
Naitwa japhethy, kunasiku nilkuwa naota juwa katika mji mmoja wa Spain unaitwa Bercelona, cha ajabu nilipokuwa naliangalia juwa kikatoka kitu kwenye juwa na kunipiga katoka paji langu la uso...
Habari zenu wadau,
Kama tunavyofahamu maji ni sehemu kubwa ya sayari ambayo tunayoishi. Je, naomba tufahamishane kama maji tunayotumia ni yale yale tokea Dunia inaumbwa, au kuna maji mengine...
Greetings… (Nitaandika kwa English sababu ya urahisi wa maneno ya Kingereza)
So it is like this, let us put God's presence and absence debate apart first of all, I'll be referring to the...
Having grown up in a strongly catholic family, I have had to, and still do, endure long sermons and lectures about how god creates life, and maintains it by imparting inherent morals and ethical...
Eavesdropping is secretly listening to the private conversation of others without their consent, as defined by Black's Law Dictionary.
US and UK spies hacked SIM card manufacturer to steal codes...
IMEBAINIKA! Mapambano na wahalifu wanaosadikiwa ni magaidi kwenye Kitongoji cha Amboni jijini Tanga, yaliingia sura nyingine baada ya wakazi wa kitongoji hicho kuvujisha siri tano...