Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Anonymous
Nimeenda mara kadhaa kwenye haya matawi mawili ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga & Mloganzila), chanjo ya Tetanus haipo kwa zaidi ya mwaka sasa. Mara ya kwanza nilienda Upanga kama miezi 8...
1 Reactions
4 Replies
513 Views
Ukubwa wa uume unategemea vitu kama kiwango cha mhemuko, muda, hali ya hewa na unashiriki tendo la ndoa mara ngapi. Si wanawake pekee ambao huwa bize kuona wanakuwa na maumbile mazuri na kwamba...
12 Reactions
214 Replies
395K Views
Hàbar marafiki nipatwa na tatizo hapa Lina nikera Sana Yani kwenye Kana kamwimba kamenasa hakaumi Ila kananikera tu naombeni msaada jinsi ya kakatoa maana nishaingiza vidore ili nitapaki bado...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Naombeni mawazo yenu mtoto wangu hakui/haongezeki uzito wala unene toka azaliwe ana miezi minne sasa
2 Reactions
34 Replies
8K Views
Magonjwa manne mapya ya zinaa yanawatoa jasho wataalamu Chanzo cha picha,iStock 9 Februari 2019 Imeboreshwa 28 Disemba 2020 Magonjwa mapya huibuka kila uchao, na magonjwa yaambukizwayo kwa ngono...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu, nimepewa hii kitu ni kaambiwa unatoa mikosi yote, naomba anayejua kweli na matumizi yake, mzizimkavu popots ulipo na mshana Jr please
2 Reactions
16 Replies
927 Views
Wadau! Mwanangu ana umri wa miezi miwili ila anakua anamafua ambayo hayatoki (ambayo hayachuruziki) nimempeleka hospital lakini Bado hayakati naomba ushauri.
1 Reactions
6 Replies
624 Views
MBEGU ZA MBONO AU MNYONYO Mara nyingi katika mada zangu nimekuwa nikizungumzia namna ya kutibu maradhi mbalimbali yanayomkwamisha mwanadamu kushiriki ipasavyo kazi za ujenzi wa taifa. Tiba...
3 Reactions
2 Replies
691 Views
Ndugu zangu salaam Kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu hata akiwa kwenye siku za hatari, pia anakosa ute wa mimba. Kuna kipindi ukimuaandaa...
9 Reactions
88 Replies
5K Views
Habarini za masiku mengi wapendwa natumaini mko vizuri... Madaktari na wadau wa hili jukwaa naombeni msaada wenj katika hili..... Mwanangu anasumbuliwa na kitovu.. tatizo ni kwamba kinatoa...
0 Reactions
22 Replies
25K Views
Nina swali hapa, kuna manzi nilichapa bao moko but nilipiga kavu nikawa simwamini. Siku ya pili nikaenda chukua PEP nimetumia siku 6 na kuacha kwa siku 2 kisha kuendelea nazo, nina wasiwasi...
4 Reactions
8 Replies
661 Views
Habari zenu, mke wangu amekuwa akifanyiwa vipimo wanapo mchoma sindano kupata damu KWENYE mshipa damu I nachukua masaa mwili kukata, je itakuwa ni tatizo gani na je nini tiba yake kama ni tatizo?
0 Reactions
5 Replies
523 Views
wakuu nilitaka kujua sababu ya Tumbo la uzazi au Chango la uzazi chanzo chake nini na nini Tiba yake kwa mama aliejifungua? Kuna jirani yangu hapa kajifungua jana ila analia sana tumbo hadi...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nina mdogo wangu wa kiume Umri miaka 32 juzi gafla alizidiwa akawa hana nguvu kabisa jasho jingi, tukachukua jukumu la mpeleka hospitali ndogo ya mtaani akapewa drip ila...
20 Reactions
142 Replies
7K Views
Ndugu wa JF, Nawasalimu wote. Bila kupoteza wakati nianze kwa kutoa maelezo mafupi ya kile kinachomsibu ndugu yangu wa karibu sana jambo ambalo linaniathiri na mimi pia. Nina huyo mamdogo...
0 Reactions
6 Replies
519 Views
Habari wadau mimi nikijana ( 26 ) nasumbuliwa na ganzi mkononi na miguuni pia sometime miguu uwaka moto na mikono pia nikienda hospital naambiwa sina tatizo nimepima kisukari , presha, vidonda vya...
5 Reactions
40 Replies
5K Views
Kwema Jf Doctors? Mpenzi wangu analalamika kuwa Kila akikutana na Mimi , baadaye hupata maumivu makali ya mgongo. Na anasema huwa inatokea kwangu Tu kabla ya hapo hakuwahi kupata shida hiyo...
2 Reactions
4 Replies
805 Views
Kuna mfanyakazi wa azam amezaa mapacha wanne. Madaktari na wanasaikolojia, Mimi na wana jamiiforum wenzangu tumesubscribe uzi na tuna popcorn tayari kusikiliza majibu.
8 Reactions
45 Replies
2K Views
Habari za leo ndugu zangu wapendwa? Ni matumaini kuwa mpo safi kabisa. nimekuja hapa kwenye hili jukwaa nikiwa nina shida moja inayonitatiza. Jana nilikuwa nampa chakula mwanangu (ana miezi 7...
2 Reactions
32 Replies
108K Views
Wakuu poleni na majukumu, naomba kwa mwenye kujua chanzo au tiba ya kuvimba kwa miguu wakati wa Safari. Mke wangu anasumbuliwa na tatizo hilo kila anaposafiri, akikaa kwenye gari zaidi ya masaa 6...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…