Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

jamani habari za leo. kuna kitu kinanichanganya naomba mnisaidie. hivi kwa mwanamke ni upi wakati ambao ni muafaka kwa kupata ujauzito? je siku kadhaa kabla ya kuwa kwenye siku zake yani mp au ni...
0 Reactions
2 Replies
904 Views
habarin wana jamvi, kwa mwanamke ambaye mara ya mwisho kuona hedhi ilikuwa ni tarehe 17/4 Je mpaka tareh 17/9 ujauzito utakuwa na wiki ngap coz naona nachanganywa
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Nina tatizo la vidude vimenitoka kwenye uume, awali nilikuwa nikifanya mapenzi na mpenzi wangu nachubuka kwenye shina la uume imeendelea kuwa hivyo kwa muda. Kwa sasa nipo mbali na...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Habari zenu wanajukwaa.
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Peace and Love all rastafrie, jamani kwa mwenye utaalamu wa suala hili anisaidie.Hivi kwanini mtu ukivuta bangi bila kuichanganya na sigara huwa unasikia kama mishipa ya kichwa inauma lakini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Menya vitunguu swaumu punje 5, ponda na changanya na maji ujazo wa birauli moja kunywa kutwa x3. kwa siku saba, safisha kinywa kwa maziwa fresh kutoaharufu mdomoni Angarizo tumi chombo ambacho si...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Eti kwa mtu anayrmepaswa ku supplment somo moja mfano surgery angali ana GPA ya 3.28/4.0. Je, ataweza kupewa cheti bila ku suppliments!! Naomben msaada kwa hilo
0 Reactions
2 Replies
862 Views
Mke wangu alichunguzwa akaambiwa ana Endometritis akapewa sylate tabs 1x1 kwa siku 5 na cifran CT 1x2 kwa siku kumi ila tatizo halijaisha. Mke wangu alikuwa akiona damu siku 3 ya 4 anakauka ila...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Salama wana JF, napenda kujua ni kwa nini tunapiga mihayo kisayansi. Na ina faida gani kwa anayepiga mihayo kwenye mwili wake? Najua ni tendo lisilo hiari, but why?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani ndugu zangu nisaidieni.Paka amenikwangua kwa kutumia kucha zake damu imevuja sana sielewi nifanye nini maana nmewai kusikia kwamba Paka Ana sumu
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Kwanin wasiwe wanachoma mikononi kama wanavyochukua damu?? Au sehemu nyingine za mwili. Nachukia sana sindano za matakoni.
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Naomba msaada wadau wa afya ktk hili jambo. Kuna ndugu yangu wa kike alikwenda hospital moja manzese na kupima HIV. Majibu yakatoka positive, lakini aliyempima akamwambia akapime sehemu nyingine...
0 Reactions
11 Replies
20K Views
naomba yyt mwenye uelewa kuhusu hilo naomba anielekeze na ikiwezekana anipe na matatizo yanayoweza kutibika kwa matetere hayo.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je Kuna madhara gani endapo Mwanaume mwenye blood group A- kuoana na Mwanamke mweye A-?? Na Je vipi kama wote ni A+??
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Niko Arusha. Mamaangu alisafishwa kizazi 2001,na 2010 akawa anaanahisi maumivu ya tumbo chini ya kitovu. Akaenda kupima Seliani,akaambiwa anakidonda kwenye mfuko wa kizazi. Akapewa dawa...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Jamani msaada wenu tafadhali. NJana nilienda saloon kunyoa,sasa jamaa mashine yake ni kali mno na kwa bahati mbaya akanikata sehemu kubwa kidogo. Nikamuuliza mtu wa kwanza kunyolewa ni yupi...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
msaada wakuu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu. Mimi nataka kujua hiki kitu. Nimesikia wadada wawili wakiongea hapa nikaapo (nimepanga chumba) kuwa mmoja wa marafiki wa hao madada alifungaga mimba isikue. Yaani alipokuwa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kwanza nianze kuwapongeza kwa ubunifu huu wenye tija, Sikujua kama kuna kitu kizuri kama hiki cha JF DOCTORS asanteni sana. Yupo mdogo wangu muda huu anastress na ningependa tumsaidie. Mke wake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…