Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Natafuta dawa ya vichomi. Nauguliwa na mzee wangu vichomi (60+ years old). Mzee amefanyiwa vipimo kadha wa kadha hospital ili kubaini chanzo cha vichomi vinavyomsumbua. Daktari amebaini ni...
0 Reactions
8 Replies
34K Views
Kabla sijaanza mazoezi nilikuwa na kilo 84 lakini cha kushangaza jana nimepima nimekuwa na kilo 85.5. Huwa nazunguka uwanja mara 15 na mazoezi ya viungo na kucheza mpira kila asubuhi lakni unene...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wanajamvi naomba mawazo na ushauri wenu, Nina mdogo wangu alichaguliwa kwenda masomoni tarehe 15/11/2013, hivyo ilibidi amuache mke nyumbani, ilipofika tarehe 25/06/2014 mdogo alitumiwa ujumbe...
0 Reactions
17 Replies
11K Views
mara nyingi nimeshuhudia wauzaji wa karanga wakipitisha mbili na za kukaanga na wengine mbichi na za kuchemsha na watu wengi hukimbilia za kukaanga/kuchemsha Nini umuhimu wa kila moja kwa...
0 Reactions
10 Replies
22K Views
mwanzon tulijua ni vidonda vya tumbo ila sasa amepima tena ameambiwa ana tatzo la mgongo ambapo anatakiwa apimwe zaid na kipimo cha MRI ambacho ni gharama mno. kama kuna dr mtaalam wa haya plzz...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Taking cold showers: a trend on the rise Taking a cold shower every day is beneficial in many ways, according to health and fitness experts. Taking a cold shower is usually seen as some kind of...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
......
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar wana jf naomba tumshauri huyu kijana.Ana umri wa miaka 20 ana tatzo la uso kama mzee hali hii inajitokeza akitembea juan au wakat wowote uso ujikunja ,akiinamisha uso chn misuri ya uso...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni msaada wenu wa mawazo wana jamii, Nina girlfriend wangu ni mjamzito lakini mazingira ambayo ananiambia kuwa ana ujauzito ni tata,kwa maana kaanza period tarehe 13/8 na kumaliza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jaman kama headn ilivyo.... naomben mchango wenu
0 Reactions
9 Replies
13K Views
Kuna taarifa kuwa Penis Ring inasaidia kwa wale ambao wana upungufu wa nguvu za kiume kwa kuzuilia damu isitoke kwenye ----- na hivo mtu kudisa kwa muda mrefu. Njia hii imekuwa msaada kwa wengi...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
jaman kama heasin ilivyo.... naomben mchango wenu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natokwa na jasho jingi kwapani wakati wote,naomba ushauri nifanyeje halitoa harufu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natokwa na jasho jingi kwapani wakati wote,naomba ushauri nifanyeje halitoa harufu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
By Joanita Tushabe and Francis Kagolo A new report by the Uganda AIDS Commission has revealed that the supply of condoms falls 45% short of the country’s need. On the other hand, the report...
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Habari wa jf, samahani naomba kuelekezwa kwa hapa dar nitapata wapi BAKING SODA?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kuna wanandoa waliokaa karibu miaka minne bila kupata mtoto iliyopelekea kugombana na kuachana lakini baada ya kila mtu kushika njia yake,yule dada alifanikiwa kupata ujauzito/mtoto na yule kaka...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
kubleach meno kwa dentist tanzania ni tsh ngapi na effects zake ni zipi?
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Hapa Dar kuna sehemu nyingi tu ambapo juisi ya miwa inatengenezwa. Mazingira ya utengenezaji yanatishia usalama wa afya za watumiaji. Kiukweli ni kuna uchafu mwinngi kwenye maandalizi ya hii...
2 Reactions
39 Replies
13K Views
Wapendwa, naomba mwenye kunisaidia juu ya hili, mke wangu anatokwa na maji meupe mazito yenye rangi ya maziwa yasiyokuwa na harufu ukeni. Naomba kujua ni tatizo? Na kama ni tatizo basi ni tatizo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom