MziziMkavu!
Kilimi changu kimerefuka balaa, wananishauri kwenda kukikata lakini sina huo mpango kabisa, hapa ninakohoa balaa, plz help instaed of kukikata nitumie dawa gani?
Wadau kwanza salamu!
baada ya salamu naomba ushauri wa kitaalamu juu ya maumivu makali ya mgongo au kama kuna mwenye kufaham walipo madaktari wa tatizo hilo anielekeze tafadhari.
Nimesoma na nimesikia sehemu mbalimbali kua ulaji wa bamia sana na nyanya chungu unasaidia uke kua na utelezi.Hali inayopelekea kupunguza michubuko wakati wa kujamiiana.
Sijui kama hii iko...
Jamani waungwana, naomba kujua ni wapi naweza pata sleeping pills, coz yani sipati usingizi kabisa hadi imekuwa kero. Na je bei yake?
Kama kuna ushauri mwingine tafadhali msaada..
Kwa wenye uelewa, nini chanzo na ipi ni tiba ya matatizo ya dada huyu?
1. Anapata maumivu makali wakati wa hedhi
2. Mwezi huu hajaingia hedhi, maumivu yemekuwa makali zaidi, maziwa nayo yanauma...
Habari JF Doctor...
Kama kuna mada ilishawahi kuzungumziwa hapa jukwaa nitaomba Link au hii mada iunganishwe. Itakuwa msaada sana kwa sisi wazazi na wazazi watarajiwa.
Kuna wazazi waliofiwa...
Naomba msaada wa mawazo maana i am running out of ideas. Nina mtoto wa miezi 8 anayesumbua kula. Namjaribisha vitu tofauti tofauti ila ni vichache sana anavikubali. Nikisema nimemjaribisha ni...
Habari ndugu zangu,
Mwanangu tangu tarehe 9/2 alikuwa anaharisha, tukampeleka maabara kapimwa kinyesi (stool), tuliomba apimwe kipimo kimoja tu, na kukaonekana kuna Amiba, dakitari alituandikia...
Naandika huu uzi nikiwa eneo la tukio (chooni), nimekuwa nikihisi haja kubwa lakini baada ya kwenda msalani kushusha madini, nikianza kufikiria / kutafakari mambo mengine tu baaasi...ngoma...
Wana JF Wasalaam Aleykhum!
Kuna habari miongoni wa Wanawake hasa wenye uwezo wa Kiuchumi kwamba wao hawapendi kuzaa kwa njia ya asili ili kuepuka maumvivu na uchungu wa uzazi. Pia wakizaa kwa...
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 22 ninasumbuliwa na tatizo la masikio yanauma kwa ndani na wakati mwingine yanatoa uchafu japo kwa kiasi kidogo(sio usaha).
Ninaomba msaada, dawa gani nzuri...
Wakuu nimepita hospital nyingi za serikali na private zinazopokea kadi za NHIF ila ninapo ulizia huduma ya macho naambiwa kadi ya NHIF haihusiki wanataka cash. Chakushangaza kila siku NHIF...
25 Acid-Promoting Foods
Check out this list to see if you could be overloading your body with potentially toxic acids.
The typical American diet is full of foods like meat and dairy products...
HIV vaccine that transforms cell DNA brings fresh hope
A radical new approach to vaccination seems to completely protect monkeys from HIV, US scientists report.
Vaccines normally train the...
Mwanangu ana mwaka 1 na miezi 9 sasa lakina bado anatambaa tu na kusimamia vitu pasipo kutembea.wenzake walozaliwa pamoja hata nyuma yake sasa wanatembea lkn ye bado.Tatizo nini jamani mwenye...
Habari wakuu, wakati wa utoto wangu nilikuwa nimesikia ya kuwa magonjwa kama kisukari na cancer ni magonjwa ambayo mtu anarithi kutoka kwa mtu aliyewahi kuwa nao kwenye familia yake.
Sasa...
Habari...nasema haya nikijua kwa namna Moja au nyingine ntapata msaada..tatzo langu ni kwamba Mwanajeshi wangu amepindia upande kwa kushoto kitu ambacho kinanikera wakati wa mechi kwenye uwanja wa...
​
JE WAYAJUA FAIDA NA MANUFAA YA KWARE NA MAYAI YAKE?
Yai la Kware ni zawadi ambayo Muumba ametupatia kama chakula cha uponyaji.
Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vya mtandao na Majarida...