Jambo wadau!
Umri wangu miaka 20 but kila nkikutana na msichana kuongea nae mazungumzo ya kawaida tu uume wangu husimama fasta na kutoa majimaji mpaka nalowesha boxer yangu.
Je hili ni tatizo au...
Natumaini wote ni wazima wa afya napenda mnijuze kwa mapana juu ya blood groups tofauti ya group moja na nyingine ni nini? na je kila kila group ina tabia gani faida na hasara zake, naomba...
Binadamu tunatumia pesa nyingi sana kutunza makucha yetu, bila kuzingatia ya kwamba hamna kitu chochote kile utakacho nunua chenye kufanya makucha yako yakue haraka na kuwa imara.
Makucha yana...
Unajua jinsi ya kuhesabu mateke ya mtoto tumboni?
Kila mwanamke mjamzito anapaswa kujua jinsi ya kuhesabu idadi ya mateke ya mtoto wake.
Mtoto mwenye afya nzuri HUCHEZA; hujinyoosha, hupiga...
Samahani wadau,
Hivi kuna mtu amewahi kutumia mafuta ya kuotesha nywele kwenye kipara na yakamsaidia kweli au ni uongo tu wa hawa watu ili wajiingizie kipato, tafadhali kama kuna mdau amewahi...
Sijaelewa ni saikolijia au nini, imeanza kunitokea tokea wiki iliyopita..kila nikifika nyumbani kwangu tokea ofisini kuna kitu kinakuwa kama kinaingia kichwani, kinakamata kichwa na baadae kichwa...
Umewahi kujiuliza kwanini kuna watu nywele zao huota na kua ndefu lakini wengine nywele zao zinaonekana kama hazioti?
>Kila Nywele hupitia hatua tatu muhimu katika mzunguko wa uhai wake.
1)...
Wadau habari zenu,
Naombeni wenye uzoefu ntujuze kati ya kufanyiwa operation na kujifungua kawaida kwa mtu ambaye hana matatizo yanayompelekea kufanyiwa operation.
hii ni kwa sababu limetokea...
Naombeni ushauri jamani natokewa navipele mwili mzima sijui na alerg na nini mpaka sasa sijajua ni chakula gani nikila kinanifanya hivi.
Je kuna dawa za Alerg naombeni mnitajie majina na ipi...
Watu wengi wanajikuta ni waathirika wa mchezo wa kudandia ukuta kwa sababu kadhaa. Mosi ni stori za vijiweni, kwamba wanaume wanadanganyika mno na habari za kusikia kwa wengine.
Wapo...
Mwanangu mguu wake mmoja kama umepinda kidogo nimejaribu kumpeleka CCBRT lakini kila siku wananipiga kalenda mara njoo baada ya miezi mi3 mara miezi 6, Hata sielewi nifanyeje na mwanangu.
Naogopa...
Kwenu madaktari, aisee me kuna hivi vidude vinaitwa dats cjui au vidoti vinaniota sehemu za korodani na hapa juu ya mgombea, panapoota mav*z* vinaota hivi vidude.
First time nilienda kumuona...
Habari Wana JF.
Jamani pumbu langu la kulia linakuwa na mshtuko wa maumivu kwenye mshipa mdogo pindi mbegu za kiume zinapotoka lakini ninapokuwa nasugua mzigo, kutembea au hata nikibinya hakuna...
Habar wana JF Doctors,
Naamini mko salama jamani naomba kuuliza gharama za upasuaji wa tonsils kwa Hospitali ya KCMC.
Je upasuaji unafanyika ndani ya kinywa au nje ?
Asanteni.
Mara nyingi ninapokunywa soda au vitu vyenye sukari sukari haswa vinywaji huwa nakojoa mkojo mtamu sana. Nimejaribu kuchek sukari lakini iko normal, lakini pia ninakuwa na uzito mkubwa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.