FF. Doctors heshima kwenu,
Mimi ninasumbuliwa na matatizo ya maumivu upande wa bega la kushoto, juu kidogo ya moyo.
Nimekuwa nikisumbuliwa na hii shida kwa muda wa zaidi ya miezi mitatu na hapa...
Habari zenu wote...
Niende direct kwenye mada kuna mtu namfahamu amepat shida ya figo, imepelelekea mpaka kua anasafishwa kila wiki hospitali.
Kinachonifanya niulize humu ni sababu aliyonipa ya...
Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukosa damu ya kutosha.
Unapoamka katikati ya usiku kwenda...
Kama kuna mtu anafahamu tatizo linaweza kuwa nini anijulishe. Toka Alhamisi naona mashine haisimami nilidhani labda ni reaction ya dawa lakini sijawahi pata reaction kama hiyo, ukichukilia mpaka...
Naomba kuelimishwa njia nzuri ya kufuatilitia kiasi cha sukari ndani ya mwili.je unapima sukari baada ya kumeza dawa?au unapima kabla.?na je ni kipimo kipi kinakupa uhakika wa jinsi sukari yako...
Mapendo jamani.... Amina.
Wakuu nina mdogo wangu wa kiume (15 years) ametoka Mwanza amekuja Dar kusoma short course ya Sound Engineering pale Ilala.
Sasa tangu amefika nimeona mambo ya kiaina...
Kiukweli hili jambo lanichanganya sana. Mtu waweza pata magonjwa ya zinaa kama kaswende na mengineyo hata kama hujafanya ngono?
Hii ni mara ya pili napimwa naambiwa nina magonjwa ya zinaa hali...
Natumaini humu jukwaan tuna madaktari wazuri na hata watu wengine waliokwisha kutana na tatizo kama langu mwanangu ana miezi 7 sasa, akicheka sana anapatwa na kwikwi.
Mpaka nimeacha kumchekesha...
Mambo Mabaya Ambayo Mkazo (Stress) Hufanya kwa Mwili Wako:
Ni hatari kwa afya ya moyo! Kila kipindi ambacho mtu anakuwa na mkazo, homoni ya adrenalini hutokezwa ambayo huongeza mapigo ya moyo na...
Habari wanajamvi,
Kuna dogo hapa kitaa katoka kufanya yao na jamaa yake sasa anahisi hajielewi elewi sasa wenye maujuzi ya dawa yoyote, maana huyu dogo anaogopa mimba sana.
Msaada wa tatizo hilo...
Kuna kijana mmoja msomi hapa mtaani kwetu alipata fursa ya kwenda kufanya kazi kwenye kiwanda kimoja kikubwa nchini marekani, baada ya kufanya maandalizi ya kwenda safari yake alilazimika...
Habari wana JF
Kwa yeyote anayejua daktari mzuri au hospitali nzuri kwa ajili ya watoto wachanga iliyopo Dar, naomba anisaidie jina la hospitali au contacts za Daktari.
Ahsanteni.
Habari zenu members napenda kufàhamu kama kuna madhara kwa mtoto anayependa sana kula vitunguu maji na swaumu au kama ana upungufu wa vitamin naomba kuwasilisha!
Wakuu,
Leo asubuhi nimeparuliwa kidogo na paka kwa kucha zake so naombeni ushauri kuna ulazima wa kwenda hospital coz nasikia hawa wanyama mbwa na paka wanasumu kali sana wakikujeruhi.
Naomba msaada wanaJF,
Mimi situmii kilevi chochote wala sigara lakini macho yangu huwa na rangi nyekundu. Imefikia mpaka naonekana kama mvuta bangi.
Je, naweza kutumia dawa gani ili yaweze kuwa...