Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

A shortage of HIV testing could undermine global efforts to diagnose and treat people with the infection, warn experts from the World Health Organization. They looked at responses to annual...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu naomba kujua mwili kuishiwa na nguvu mara kwa mara ni dalili ya ugonjwa gani?
1 Reactions
8 Replies
42K Views
Matumaini yangu mu wazima, Ninahitaji msaada wa haraka, nimetokewa na uvimbe mdogo size kama tunda la mzabibu ni kidogo kwa nje hakionekani isipokuwa nikishika sehemu hayo ya taya ndipo nikibinya...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Wakuu naomba kujua matibabu ya ugonjwa wa presha ya macho unanidumbua sana..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
vijana wadogo sana wamekuwa wanasumbuliwa na ugonjwa maaruf kama gono
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajukwa! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo juu, Naomba mwenye kitabu, au sehemu naweza kukipata iwe kwa njia ya mtandao au soft copy kama mtu anayo naomba kusaidiwa. Kitabu...
1 Reactions
2 Replies
947 Views
Nilipata tatizo la jino langu kutoboka, kiasi kwamba nilishauriwa na daktari wa meno kung'oa, baada ya daktari kung'oa jino pamekuwa na maumivu kwenye pengo na kwenye fidhi karibu na pengo pale...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wana JF Doctors nimeikuta hii pic mahali imenikera sio tu kimaadili ila pia nikafikiria kiafya pia kwa mimi ambae sina utaalamu mkubwa wa masuala ya afya nimeona hatari nyingi sana kwa mtoto huyu...
4 Reactions
24 Replies
7K Views
Habari zenu waungwana naomba msaada, nilipima mkojo na majibu ya vipimo ni Macro: yellow specimen Micro:puss cells 35 - 40 hpf je ni sahihi kuandikiwa ciproffluxin kama dawa kwajili ya hilo?
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Nimeshiriki zoezi la uchangiaji damu salama la tarehe 10/02/2018 mkoani kilimanjaro lakini napatwa na tatizo la kuumwa na kichwa nyuma ya kisogo kwa chini je inaweza kua imesababishwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Za muda huu wadau nianze kwa kusema kuwa nina muda mrefu sijafanya mapenzi ila siku chache nilianza kama kuwasha sehemu za siri. Basi nikaambiwa nikipataka limao muwasho utaisha maana hiyo ni...
0 Reactions
28 Replies
11K Views
kwa sasa kuna wimbi kubwa la watu ambao wanasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume, wengi wao matatizo yao yanatumiika kwa kubadili mfumo wa maisha tu na wachache ambao wamejiharibu kwa kujichua na...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu? Naombeni msaada jana nimechukua jani la mwalovera nimekatakata nimeloweka masaa 2 nikanywa nusu glass baada ya hapo usiku nimeumwa sana tumbo na kuharisha sasa sijui tatizo ni nini...
3 Reactions
31 Replies
5K Views
Mke wangu alijifungua tar 6/01/2018 mtoto wa kiume shida amekuwa na changamoto ya kukoswa maziwa ya kutosha kunyonyesha mtoto afanyeje ili kupata maziwa ya kutosha kumnyonyesha mtoto?
0 Reactions
15 Replies
24K Views
Habari wapendwa? Kama kichwa cha habari kinavosema..hiyo hali imenianza juzi....msaada tafadhali!! #Shukrani
1 Reactions
62 Replies
13K Views
Kimsingi ndoto ni hadithi na picha ambazo hutengenezwa na akili zetu wakati tukiwa usingizini. Ndoto zinaweza kukufurahisha, kukuhuzunisha au kukuogopesha. Wataalamu wanadai tunapata ndoto nne...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu wa Vitengo habarini! Nina tatizo ambalo silielewi ni miezi miwili sasa napata choo uharo kila ninapo pata haja ila sijioni kama naumwa kabisa. Najiona niko poa kiafya wala sipati maumivu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Uume ni sehemu nyeti sana kwa mwanaume na mwanamke pia, nimesikia wadada fulani wakilalamika katika maongezi kuhusiana na namna ambavyo uume mbali mbali zilivyokaa na athari zake wakati wa tendo...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwa anayefahamu matumizi ya mafuta ya Khadar tafadhali. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nini kinasababisha uume kutosimama imara? Yaani unakuta MTU unataka kugegeda unakuta uume upo legelege, nini sababu? Je tatizo linaisha kwa kufanya nini? Hospitali gani inaweza tibu hili tatizo?
1 Reactions
28 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…