Gonorrhoea inawapata vijana wengi kuliko ugonjwa mwingine kwa wingi

Hsu
Hawachemshi maji ya kunywa au?
Hapana Hausabaishwi na kutokunawa mikono, ni ngono zembe,
Kuna aina ya bacteria anaye sababisha uginjwa huu ambaye anaitwa N.gonnorhea
Na kuna mwingine anaitwa N.meniningits huyu hukumba sehemu za uti wa mgongo.

Unaweza tumia dawa kisha usipone kwa sababu umegawanyika sehemu mbili Ambayo anaweza kujiweka kwenye Gram positive au Gram negative, au akawa amekuvamia cells ambayo ni intracellular(ndani ya sell) au extracellular(nje ya cells).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom