Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari za asubuhi madoctor wa JF, mm nina tatizo limenianza siku ya tatu sasa, kibofu kinawaka moto, mkojo unanibana kila mara na nikienda kukojoa mkojo unatoka kidogo ukiambatana na maumivu...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Wakuu naimani hamjambo nawanaoumwa poleni wenye ujuzi watujuze wakuu mimi mkewangu nimjamzito na anamiezi mine4 na hii nimimba yapili tatizo alilo nalo ni kuumwa katika nyonga ya mguu wa kulia...
1 Reactions
67 Replies
61K Views
Habari wadau, Naomba kuuliza kwa ambae ametumia bidhaa za EDMARK za kupunguza uzito je ilimsaidia kweli ama kama una mtu unaemjua alitumia bidhaa za EDMARK akafanikiwa kupunguza uzito. Asanteni.
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Wakuu ninaomba kujua kwanini ,kuna baadhi ya ke huchelewa kujifungua tofauti na kawaida ya ,miezi Tisa?
0 Reactions
5 Replies
982 Views
Kucheka hupunguza homoni za mkazo (stress hormones) na kuongeza seli za kinga ya mwili hivyo kuongeza kinga dhidi ya maradhi. Kucheka pia huchochea utokezwaji wa endorphins kemikali inayomfanya...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Usiku wa kuamkia Leo hii nimepata tatizo la kuziba kwa sikio moja la upande wa kushoto baada ya kuamka na kutaka kupenga kamasi lakini cha ajabu sikio likaziba na kutoa maumivu makali sana mpaka...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nn matatizo ya mwanaume ama mwanamke mwenye group la damu lenye negative rhesus factors katika kupata watoto? Ushauri gani afuate kama ana hilo group?
0 Reactions
9 Replies
10K Views
MAMBO YA KUZINGATIA KWA MGONJWA WA KISUKARI [emoji298]usinywe soda ya aina yyte na juisi za viwandani [emoji298]acha chai ya rangi na kahawa [emoji298]jishughulishe na mazoezi [emoji298]ongeza...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ninapokuwa nasex na mke wangu huwa napata maumivu makali sana kine shina la uume kiasi cha kukosa raha naomba unisaidie ni nn tatizo
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hivi karibuni niliamua kufanya biashara ya Pweza hivyo nikaona ni vyema nifanye utafiti wa kina kabla ya kuanza,hii ni biashara nzuri hapa Dar es salaam na mtaji wake sio mkubwa pia inatoa fursa...
2 Reactions
86 Replies
39K Views
Kwa upande wangu,hapa Tanzania,sijawahi kuziona,ila huwa nawaona specialists wakitoa chanjo mtaan,ndo kusema fursa hii doctors hamuioni? au hamna haja?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inaeleza
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu? naombeni msaada wenu wapenzi nina tatizo napata shida kupata usingzi ikitokea nikipata ni kwenye saa 7 usiku na nikianza tu kusinzia mavitu yanajirudia kichwani yote nilivyofanya...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari zenu wana jf kuna mtu wa karibu yangu anapatwa na tatizo kwa siku kama mbili. Anasumbuliwa na muwasho ukeni pamoja na harufu kali pia wakati wa kukojoa mkojo unakuwa wa njano sana alafu...
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Habari jioni wapendwa,tafadhalini mwenye uelewa juu ya hili anisaidie nawaomba nimeugua maradhi ya zinaa zaidi ya mara tano au zaidi,kilichonipelekea kuandika uzi huu ni kwamba korodani...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Wataalam naombeni msaada wa kunielewesha nini maana yake hapo kwenye "4 chambers of heart" report limetokana na upimaji wa ultra sound kwa mjamzito. Mungu awatangulie.
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Salam kwenu wana jf, kama kichwa kilivyojikita naomba kufahamu ni vyakula gani vinasaidia kuweka vizuri saikology ya mtu...?
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari ya leo wana jamvi naomba kujua mjamzito kuumwa kiuno ni hali ya kawaida Kama si hali ya kawaida ni nini kinasababisha na suluhisho la haya maumivu ni nini?
0 Reactions
4 Replies
22K Views
Habari Zenu Wakuu Refer to the topic above. Well nimekua nikisoma faida za aloe vera kwenye internet kwenye afya na mwili wa Binadam na jinsi inavyoweza fanya ngozi ya mtu kuwa nadhifu na yenye...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
wadau kwema??nimeng'atwa na n'ge mida hii,,na nimethibitisha baada ya kumuua,,nasikia maumivu makali sana maana ameniuma mkono wa kushoto,huduma ya kwanza ni ipi nijisaidie...
0 Reactions
7 Replies
973 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…