Upande wa chini wa kinywa maeneo ya gego(meno makubwa) upande wa kushoto chini ,
ninapata maumivu makali sana , leo usiku sijalala kabisa , ni tiba ipi inafaa
Wakuu poleni na majukumu..msaada wa kumuangamiza huyu "Candidas Auris" amekuwa akimsumbua mke wangu yapata miaka mitatu sasa tangu ajifungue kwa kisu...anatibiwa anaonekana kupona lakini baadaye...
Hello!
Habari zenu, tafadhari naomba kwa mtu yeyote anayefahamu datrari bingwa anipatie maelekezo maana nina tatizo hili na nimeshafayiwa operation mara moja bila mafanikio. Au kwa yeyote...
Wagonjwa wa kifua kikuu (TB) hupitia mateso makubwa ambayo mara nyingi jamii haioni. Si kwamba wanapenda kuacha dawa au kuzembea matibabu yao bali mara nyingi huzuiliwa na hali halisi ya maisha...
Habari za wakati huu.
Nimeanzisha thread hii ili kutoa elimu ya mtindo wa maisha, kuelezea matibabu ya tiba lishe asili, mitishamba na huduma binafsi unayoweza kupata toka kwangu.
Nitakua na...
Habari Wakuu
Ninaomba msaada wa kupata daktari wa Jadi ambaye anaweza kumsaidia ndg yangu ambaye kwasasa ni kama amekata tamaa kabisa kutokana na kuhangaika pasina kufanikiwa. Historia yake fupi...
Habari wanajukwaa nimekosa amani tangu jumanne
ilikuwa hivi, nililala usiku nikaota ndoto nimepooza upande wa kulia,
Lakini ile kustuka kweli ule upande wote ulikuwa umepooza.
Nilikuwa na kiu...
Figo hufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja katika mwili wetu. Huondoa taka katika mwili. Kuweka uzaini wa maji na madini ya elektroliti.
Figo hufuatilia shinikizo la damu na pia kusaidia katika...
Figo ni moja ya viungo muhimu vya mwili wa mwanadamu, ambavyo vina majukumu mengi ya kuweka mwili katika afya njema.
Madaktari mara nyingi wanashauri kwamba ili kuweka figo kuwa na afya njema...
Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine.
Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi...
Dawa ya Kuondoa Michirizi Kwenye Ngozi ✨
Michirizi kwenye ngozi (stretch marks) ni tatizo linalowasumbua watu wengi. Mara nyingi husababishwa na:
Unene uliopitiliza 🏋️
Kupungua uzito ghafla...
Mambo vipi wana jamvi, naomba kuuliza, kwa uchache sana. Hivi unaweza ukawa una vidonda vya tumbo halafu usiumwe na tumbo? (usipate maumivu) kama ni ndio naomba kwa ufupi sana dalili nyengine za...
Chanzo Kikuu:
# Maambukizi ya bakteria Helicobacter pylori (H. pylori) chanzo chake ni matumizi ya muda mrefu ya dawa za kupunguza maumivu kama Aspirin, Ibuprofen, Diclofenac).
# Dalili zake ni...
H. pylori ni nini?
Ni bakteria hatari wanaoishi tumboni na mara nyingi husababisha gastritis, vidonda vya tumbo na hata saratani ya tumbo.
Dalili kuu:
✅ Maumivu makali ya tumbo (hasa ukiwa hauna...
Hali hii hutokana na ngozi kupoteza uimara wake na kuachia mistari ya kudumu inayojitokeza. Mara nyingi husababishwa na unene uliopitiliza, kupungua uzito ghafla, baada ya kujifungua, mabadiliko...
# Michubuko tumboni bila H. pylori
Michubuko (Erosions au Gastritis) kwenye kuta za tumbo inaweza kutokea hata bila kuwepo kwa H. pylori.
Sababu kuu ni:-
Matumizi ya dawa mbalimbali za...
Number of people with diabetes increasing due to population growth, urbanization, aging and increasing prevelance of obesity and inactivity.
Currently, according to literature shows that, type 2...
Habari wakuu.
Kuna wakati flani nilikuwa naona nyuzi ya UKIMWI Sana hapa jukwaani asee ilikuwa inanikata Sana sababu najua nilikuwa nauza mechi Hadi nikapewa ugomjwa WA gono na demu mmoja hivi...
Je, unajua kwamba mara nyingi suluhisho la changamoto zako za nguvu za kiume linaweza kuwa mezani kwako kila siku? Ndiyo! Haya siyo majani ya kienyeji wala dawa zenye madhara ni matunda ya...