Hellow
Nimepata shida ya mgongo baada ya kuanguka kwenye malumalu niliteleza wakati mvua inanyesha nilikuwa nachota maji sasa bahati mbaya ile napanda ngazi tu nikala mueleka nikajua nakufa kifo...
Wakuu salamaa,
Nina swali dogo hapa naomba msaada wenu, nimepatwa na hali inanipa mashaka kidogo!ninaenda sana haja ndogo wakati wa usiku ili hali nimekunywa glass moja tu ya maji na kulala!
Je...
Kama tujuavyo inawezekana kubeba mimba kuanzia week ya 4 tuu baada ya kujifungua.
Hivyo ukilegeza vichwa vyote viwili unashangaa unapeleka mtu leba mara 2 kwa mwaka.
First born kazaliwa January...
Watu wenye changamoto ya shinikizo kubwa la damu hupaswa kufuata masharti sahihi ya mlo ili kupunguza athari za ugonjwa huu, pamoja na kusaidia katika udhibiti wake.
Kwa kuzingatia umuhimu wa...
Kwa muda sasa nimekuwa nikishuhudia watu wengi wakipatwa na ugonjwa wa Presha na kisukari. Lakini mara wanapogundulika kuwa na ugonjwa upewa dawa za hospital na wengine huanzishiwa kliniki lakini...
Tattoo ni nini?
hii ni uwekaji wa wino kwenye ngozi ya ndani kitaalamu kama dermis kubadilisha rangi kabisa ya maisha yako yote au kwa muda tu, inategemea na uwekaji..
kwa dunia ya sasa...
Dkt. Jane Bazilio ambaye ni Daktari Bingwa wa Pua, Koo na Masikio kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani-Tumbi anaelezea kuhusu afya ya sikio.
Anasema "Watu wengi wamekuwa na matatizo ya...
Busha linaweza kupelekea mkusanyiko wa damu ndani ya korodani (hematocele), au mkusanyiko wa usaha ndani ya nafasi kati ya tabaka mbili za korodani (Scrotal pyoceles), mara nyingi huambatana na...
Kila siku silali bila kupata Konyagi chupa ndogo 200 mls, napata usingizi mzuri, napata apetite ya kula, napata relaxation nk.
Je, kiwango hicho kina madhara Konyagi ina faida gani kiafya tofauti...
Habari wakuu.
Nina tatizo la kutokwa sana machozi nikiwa sehemu za baridi, na pia pua zangu zina tatizo la kitaalamu linaitwa Rhinorrhea (runny nose) pua zinakua zinatoa makamasi mepesi nikiwa...
Mwanamke yeyote ambaye mimba imetoka au kutolewa anatakiwa kupata huduma ya afya ya uzazi kwa kuokoa Maisha yake katika kituo chochote cha afya kilichopo karibu yake.
Huduma hii ni salama...
Ni zp faida na hasara za kunywa maji mengi ya baridi!nimekuwa nikinywa maji mengi ya baridi sana!
Naomba msaada wenu
===========
Effects of Cold Water
If you like to drink cold water then you...
Wakuu habari za miangaiko ya hapa na palee.hichi kitu ninamiaka Kama 10 Sasa kinanisumbua,asubui huwa kinauma Sanaa,nimejaribu kwenda hospital nyingi Ila bado iko pale pale,Kuna saa kinauma vibaya...
Habari Wana Kijiji,
Kwa muda tunapost thread nyingi ni za kuomba msaada/umbea/habari na kupeana ushauri. Leo nimeamua kuja na thread hii ya kufundisha/kukumbusha/kuelimisha na kutahadharisha...
Ningependa kujua dawa ya asili inayoweza tibu UTI,kuna mtu aliwahi nambia ila nimeisahau,kwani kuna vitunguu Saumu,tangawizi na vitu vingine.Anae jua anisaidie pls.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu!
Nimekuwa nikisumbuliwa na Malaria kwa kipindi kirefu kidogo, nimejaribu kutumia dawa nyingi za kizungu zinanisaidia lakini baada ya miezi 5-6 unakuta malaria inarudi tena, sasa kwa...
Salaam wana Jf, kama nlivoeleza hapo juu yoyote anaejua dawa ya cancer anichek maana mama angu mzazi anasumbuliwa na cancer ya titi na ametumia dawa nyingi za hospital lakini sioni dalili ya yeye...