Naomba kujua dawa asili ya Vidonda vya tumbo

Jaribu kutumia mizizi ya mforosadi mweupe (genus morus/mulberry tree). Mizizi hii kwa kawaida ina rangi, yellowish fulani hivi na imefunikwa na ngozi nyembamba sana mithili ya plastic; palua ngozi hii kisha chukua vipande kama kumi hivi vya mizizi hiyo vyenye urefu wa kiganja chako. Vichemshe ktk maji ujazo wa lita 3 hadi kufikia boiling point. Usichanganye na kitu chochote.

Epua kisha subiri baada ya 24 hrs kisha kunywa glass moja moja, x3 kwa siku.
Binafsi dawa hii imenisaidia.

Pia tumia mafuta ya kondoo kijiko kimoja cha chai + asali kijiko kikubwa.
Angalizo: kama una kinyaa, don't try this! Utatapika.
 
Naombaaa kujua Dawa asilia Ya Vidonda vya tumbo maana nimetumia Sana modern drugs still I don't see any changes
pole sana,kuna mtu alisumbuliwa na vidonda mda mrefu na sasa amepona kabisa nilipomuuliza ametumia dawa gani akanijibu ametumia magome ya mti wa mlimao unachemsha kwenye maji dozi asubuhi kikombe kimoja na jioni kimoja kwa muda wa wiki moja akawa amepona
 
Naombaaa kujua Dawa asilia Ya Vidonda vya tumbo maana nimetumia Sana modern drugs still I don't see any changes
Mmb powder dawa ya vidonda vya tumbo Asilia inazuia kutapika damu pamoja na kutibu vidonda vya tumbo dose yake ni elfu 30 unaitumia kikamilifu ndani ya mwezi mmoja kwa muhitaji Piga namba 0754 446724 Voda au 0683882959 mikoan tunatuma unachangiwa asilimia 50 ya nauli.
 
pole sana,kuna mtu alisumbuliwa na vidonda mda mrefu na sasa amepona kabisa nilipomuuliza ametumia dawa gani akanijibu ametumia magome ya mti wa mlimao unachemsha kwenye maji dozi asubuhi kikombe kimoja na jioni kimoja kwa muda wa wiki moja akawa amepona
Mkuu nzaghamba magome hayo hata yakiwa mabichi au mpaka yaanikwe yakauke kwanza?
 
Back
Top Bottom