Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari zenu, nimekuwa tofauti kidogo pengine ni kawaida kwa kila mtu kupata kikohozi kidogo, hii ilianza yapata miaka mitatu iliyopita sasa nikaona nije humu mnisaidie. Asanteni
0 Reactions
3 Replies
289 Views
Habari njema kwa wapenzi wa kahawa. Utafiti unaonyesha kwamba kunywa vikombe kadhaa vya kahawa yako pendwa kila siku kunaweza punguza hatari ya saratani ya tezi dume. Utafiti wa hivi karibuni...
0 Reactions
1 Replies
489 Views
Assallam walykum, bwana Yesu asifiwe the main point of writting this thread is to seek advice i have many personal inner battles i have been fighting, im 29yrs now ive been masterbating since i...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndugu zangu naitwa John Venas nasumbuliwa na maumivu ya muda mrefu ya UPANDE mmoja wa KIFUA na mbavu nilifanya Vipimo vya Exray bila matokeo yoyote lakini Sasa tatizo linasogea na linahamia na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mmeng'enyo wa chakula ni mchakato muhimu kwa afya zetu, lakini wengi wanakutana na changamoto kama kuvimbiwa, gesi, na maumivu ya tumbo. Tatizo linaweza kusababishwa na lishe duni, kutokunywa maji...
0 Reactions
0 Replies
557 Views
Je, hali ya mwili kukosa nguvu inaweza kulinganishwa na namna akili na kompyuta zetu zinavyofanya kazi? Ubongo na kompyuta vyote vimeundwa na mizunguko isiyoelezeka kiurahisi. Vyote viwili...
0 Reactions
0 Replies
499 Views
Ndugu habarini. Kama kichwa cha uzi kilivyo, nimekumbwa na tatizo hili la kuwa na vipele vingi eneo la kifuani na mgongoni kwenye eneo la mabega kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa. Hivi vipele...
0 Reactions
13 Replies
15K Views
SARATANI ya utumbo mpana ni matokeo ya viotea au uvimbe ambao awali mtu huishi nao kama viotea vya kawaida na hatimaye hubadilika baada ya kukumbana na visababishi hatarishi. Daktari Bingwa wa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
BAADHI YA MASWALIYALIYOULIZWA KUHUSU JAMBO HILI Wadau jamani mimi najiona nimekonda nataka kunenepa kiasi flani hivi embu naombeni ushauri wenu'' --- Habarini JF Doctors! Husika na kichwa cha...
3 Reactions
958 Replies
320K Views
Nasikia hali mbili Moja kama kichwa cha uzi huu kinavyoeleza. Badiri mwilini na viungo kuuma japo ni kama hali ya homa Pili, ngozi ya mwili sehem yamiraba miwili ya mgongo inauma plus ngozi ya...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Kutumia kondomu kwa usahihi ni muhimu kwa ajili ya kinga dhidi ya magonjwa ya 1. Kagua kifurushi: Hakikisha kifurushi cha kondomu hakijapasuka au kuharibika. Angalia pia tarehe ya mwisho wa...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Wazazi wenzangu naombeni msaada hapo niweze kuvuka kama Kuna sayansi yoyote nisaidieni nitumie Mtoto anaharisha, nimeenda hospital wamempa oral lakini naona hali yake kiafya inaporomoka, kula...
7 Reactions
81 Replies
4K Views
Kipimo cha hesabu kamili ya damu (Full Blood Count) ambacho pia huitwa kipimo kamili cha damu (Complete Blood Count) au kipimo kinachotoa taswira kamili ya hali ya damu (Full Blood Picture) Ni...
4 Reactions
0 Replies
913 Views
Habari za Leo Wakuu, naombeni msaada, nina kijana wangu wa kiume umri miaka 5, anasumbuliwa na tonsils, tulienda hospitali wakampatia dawa za kunywa antibiotics na nyingine Bufen. Pamoja Nakuwa...
0 Reactions
1 Replies
668 Views
1. Weka malengo unayoweza kufikia ndani ya muda mfupi Badala ya kuorodhesha majukumu mengi, fikiria kuweka malengo madogo. Kuweka na kutimiza malengo haya kunaweza kukupa hali ya udhibiti na...
0 Reactions
1 Replies
933 Views
Kuna mwanamke mmoja nipo nae kwenye mahusiano na huwa tutakutana kimwili mara mbili au mara tatu kwa mwezi. Mara nyingi tukikutana huwa hatutumii kinga sababu wote tulienda kupima kipimo...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, mwaka jana 2023 mwezi wa 3 nilianza kupata dalili ambazo sikuzielewa km vile; Kuvimba miguu, tumbo kuuma nk. Ikabidi niende Amana hospital ambapo nilipima vipimo kadhaa ie...
19 Reactions
121 Replies
6K Views
Habarini wadau. Naomba kufahamu utaratibu wa matibabu ya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano. Kuna mtu aliniambia kwamba watoto wenye umri huo wanatibiwa bure kabisa hulipi chochote,je...
1 Reactions
19 Replies
849 Views
Habari zenu, Nimekuwa na changamoto toka j3 ya Nyerere day mchana nilikuwa nimekaa sehemu mara nikaona jicho la kushoto linatoa machozi sasa nashangaa hadi leo j5 bado linatoa machozi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Masaada wakuu Mtoto n mchanga WA week 1 Na anaswet shingoni ukimpanguza Anakua kama anababuka Naomba kujua poda nzuri Kwa Mtoto Na ametokwa na vipele Ambavyo vnakaa kama uzaraha Ila ukivitumbua...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…