Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Anonymous
Tunaomba mamlaka husika kufanya uchunguzi wa kina kuhusu malalamiko mbalimbali yanayodaiwa kuwepo katika Hospitali ya St. Francis, Ifakara, hususan kuhusu mwenendo wa uongozi na athari zake kwa...
0 Reactions
3 Replies
123 Views
Kituo cha Afya Mtae kilichopo Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga kinalipisha huduma ya opereshen kwa wamama wajawazito Tsh 78,000 kwa kila anayejifungua kwa operesheni na hatulipi kwa Control Number...
0 Reactions
2 Replies
165 Views
Waziri wa Afya, Mchengerwa tunaomba fuatilia kwa ukaribu Hospitali ya Ngamiani - Tanga kuna uzembe flani wa wauguzi, tarehe 24/6/2026 kuna mgonjwa alikutwa amefia chooni bila ya wauguzi kujua...
0 Reactions
12 Replies
325 Views
Kuna malalamiko kuhusu mwenendo wa daktari mmoja wa kike katika hospitali yetu ambaye anadaiwa kutowahudumia wagonjwa kwa wakati na kutokuwa na lugha nzuri kwa wagonjwa. Inadaiwa kuwa hata...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Zahanati ya Kata ya Itundu, Wilaya ya Urambo katika Mkoa wa Tabora, Mganga Mfawidhi anakuja kazini anapojisikia ni kama Mganga Mkuu wa Wilaya ameshindwa cha kufanya. Kwa wiki anaweza kuna mara...
0 Reactions
5 Replies
266 Views
Anonymous
Kuna kero inayohusiana na wanafunzi na wataalamu wanaosomea taaluma ya usingizi na ganzi tiba (Anesthesia) chini ya uuguzi. Kumekuwa na malalamiko kuwa baadhi ya viongozi wa Baraza la Uuguzi na...
1 Reactions
2 Replies
164 Views
Nipo hapa Hospitali ya Taifa Muhimbili ya Upanga Kitengo cha Mifupa (MOI) nina mgonjwa ambaye tayari anaingia wiki ya pili tangu alazwe. Changamoto kubwa ni kuwa mgonjwa ana tatizo la mshipa...
6 Reactions
28 Replies
579 Views
Kuna shida kwenye kituo cha Afya Kimara Mavurunza. Mtoto chini ya miaka mitano hakishapatiwa huduma mzazi anaambiwa alipie dawa, na wakati mwingine huduma ni bure. Hii ni sawa wakuu? Soma Pia...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Kama kinavyoonekana hiki ndicho Kituo cha Afya Nyangoto, kinapatikana Mkoa wa Mara, Wilaya ya Tarime Vijijini, Kata ya Matongo (eneo kwa ujumla linafahamika kama Nyamongo). Changamoto yake Ni...
0 Reactions
2 Replies
258 Views
Mheshimiwa Rais, Awali ya yote, tunakupongeza kwa kazi kubwa unayoifanya katika kuijenga nchi yetu, hususan katika kuboresha sekta ya afya. Sisi kama watumishi na wadau wa Hospitali ya Taifa...
3 Reactions
6 Replies
438 Views
Nipo katika Mwananyamala Hospital na nakutana na changamoto kubwa ya upungufu wa madaktari. Wagonjwa ni wengi sana na foleni ni ndefu kiasi kwamba watu wanazidiwa hadi kwenye mabenchi ya kusubiri...
0 Reactions
1 Replies
207 Views
Nimekuja hapa kupongeza, kwa kweli naishukuru Serikali ya Tanzania na Rais wetu mama Samia Suluhu. Mama yangu anaumwa Saratani ya Kizazi, alipogundulika na hilo tatizo kwakweli kwenye familia...
1 Reactions
3 Replies
143 Views
Nina mgonjwa wangu ambaye amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sekou-Toure (Mwanza), moja ya changamoto ambayo nimeishuhudia hapa ni kwamba kuna tatizo kubwa sana la umeme kukatika mara kwa...
3 Reactions
3 Replies
500 Views
Anonymous (0c95)
Mimi ni mwananchi wa Singida, kero yangu ni jengo la ghorofa sita kwaajili ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, lilianza kujengwa tangu nipo Sekondari Miaka ya 2010's lakini mpaka leo ujenzi...
2 Reactions
9 Replies
417 Views
Zipo tuhuma kwamba baadhi ya wagonjwa katika Halmashauri ya Maswa mkoani Simiyu wamekuwa wakitoa rushwa kwa wahudumu wa afya ili wapatiwe huduma mapema wanapofika katika vituo hivyo. Ni mbinu ya...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Kuna kitu kimejificha kwenye hili kati ya Pharmacy Council na wamiliki wa DLDM (Maduka ya Dawa Muhimu), Kwa nini mpaka leo dawa za antibiotics zinauzwa tu kwenye DLDM licha ya katazo? Wenye...
1 Reactions
3 Replies
642 Views
Anonymous
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya inachafua hali ya hewa na kuhatarisha afya za Wananchi hospitalini na wanaoizunguka kwa kukosekana Incinerator (mashine maalum ya kuchomea taka). Incinerator...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Anonymous
Kituo cha Afya kilichojengwa Kata ya Mkumbi, Halmashauri ya Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma kimechukua muda mrefu kukamilika, tatizo ni siasa na mizunguko kibao. Kwanza tangu mradi uanze aliyekuwa...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Mfamasia Neema J. Nagu kutoka Wizara ya Afya anasema kuna dawa za aina mbili zinazouzwa kwenye Duka la Dawa, zipo ambazo hazitolewi bila cheti kama Panadol na zile za mafua na nyinginezo. Anasema...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom