International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Nimeona katika mitandao 20 Chinese Food and Ingredients You Should Avoid, nikaona karibu vyakula vyote pendwa vimepigwa ,madongo ya kutosha, sasa najiuliza, nini watu wanakula huko? TAZAMA HII...
0 Reactions
3 Replies
847 Views
Mzunguko wa usambazaji wa magazeti Nchini Marekani umeshuka kwa 12% ndani ya mwaka mmoja uliopita katika takwimu zilizoishia Machi 2022. Magazeti ya The Wall Street Journal na New York Times...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa Lugansk amewaambia waandishi wa habari kuhusu mipango ya kuandaa kura ya maoni Jamhuri ya Watu wa Lugansk (LPR), mojawapo ya maeneo mawili yaliyojitenga ya Donbass...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Victoria amazonica inayopandwa katika Bustani ya Mimea ya Kitropiki ya Xishuangbanna katika Akadamia ya Sayansi ya China imeingia katika kipindi bora cha kutazama maua yaliyochipuka, na kuvutia...
3 Reactions
7 Replies
895 Views
Takwimu za kila siku zinaonyesha kua idadi kubwa ya Wamarekani hawamuelewi Biden na hawaelewi nchi inakoekea. Ndani ya mwaka mmoja umaarufu wa Biden umekua ukishuka kwa kasi ya ajabu. Hii ni...
10 Reactions
74 Replies
5K Views
Mfugaji mmoja huko New Zealannd amaetozwa fine ya $50,000 kwa kpsa la kutunza ng'ombe katika mazingira yaasiyofaa na kusababisha vifa. Ilionekana kuwa ng'ombe walitunzwa katika mazingira yasiyo n...
0 Reactions
1 Replies
891 Views
After heavy fighting for Lysychansk, the defence forces of Ukraine were forced to withdraw from their occupied positions and lines,’ the army general staff said. Earlier Moscow claimed it had...
0 Reactions
1 Replies
667 Views
Korea Kaskazini imeukosoa mkataba wa ushirikiano wa kijeshi uliosainiwa kati ya Marekani, Japan na Korea ya Kusini ikidai una lengo la kuiongezea nguvu Marekani hasa dhidi ya wapinzani wake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa zamani wa Burkina Faso, Roch Kaboré, amepewa "uhuru kamili" na majenerali wa kijeshi waliompindua katika mapinduzi mwezi Januari katika juhudi za upatanisho wa kisiasa Bw Kaboré...
0 Reactions
0 Replies
652 Views
Reuters yaripoti kuwa Umoja wa Ulaya umeamua kuondoa vikwazo vya kuzuia mizigo ya Urusi kuingia Kaliningrad kupitia Lithuania. Hatua hiyo imejiri baada ya Urusi kuionya Lithuania kuwa itampa...
34 Reactions
84 Replies
6K Views
Defenders wa Ukraine wafanya mashambulizi ndani Urusi. Mashambulizi hayo ni ya makombora ambayo yamelipua vituko vya mafuta na kuleta mlipuko mkubwa katika Jimbo la Druzhba oil depot in Bryansk...
19 Reactions
96 Replies
10K Views
Mji wa Bolgorod uliopo Km 40 kutoka mpaka wa urusi na Ukraine umapatwa na milipuko uliosababisha nyumba kadhaa kuharibiwa na watu kadhaa kupoyteza maisha. Kiongozi mmoja wa Urusi ameapa kuwa...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Hivi kwani wao warusi wanashambulia nje ya Ukraine? Sasa naanza kuelewa kwanini walioishi urusi na kurudi bongo, pamoja na wale warusi wa tandahimba wana akili za mwendo Kasi, kumbe wameambukizwa...
0 Reactions
10 Replies
780 Views
Gavana wa jimbo la Belgorod nchini Urusi ameishutumu Ukraine kwa kushambulia ghala lake la mafuta katika mji huo. Vyacheslav Gladkov alisema kupitia Telegram kwamba moto mkubwa uliozuka Ijumaa...
9 Reactions
79 Replies
49K Views
Sadok Belaid, Mtaalamu wa Katiba na Sheria na aliyekuwa Msimamizi wa Uundwaji wa Katiba mpya nchini humo amesema waraka wa mwisho wa Rasimu ya Katiba uliochapishwa na Kais Saied wiki iliyopita ni...
0 Reactions
1 Replies
623 Views
Majengo yalipuka huku milipuko ikiendelea.... ====== Russia has accused Ukraine over explosions which reportedly killed three people in the city of Belgorod, near the border with Ukraine. The...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Viongozi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) wameondoa vikwazo vya kiuchumi na kifedha vilivyowekwa dhidi ya Mali, baada ya watawala wake wa kijeshi kupendekeza mabadiliko...
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Vyombo mbalimbali vya habari nchini Urusi vimeripoti kuwa Rais wa Urusi Vladimir Putin ameingia katika eneo la Kremlin takribani saa tano (2300) usiku huu katika hali iliyotafsiriwa kuwa ya ghafla...
9 Reactions
168 Replies
12K Views
Kutoka msafara wa vifaru kuelekea kuiteka Kyiv hadi kugeuka kuwa wezi wa nafaka!.
10 Reactions
60 Replies
3K Views
Ukrainian forces have pushed Russian forces from Snake Island, a strategic Black Sea island off the southern coast near the city of Odesa. Russia portrayed the pullout from Snake Island off the...
9 Reactions
39 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…