International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Laurent Bucyibaruta, aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Gikongoro Kusini amekutwa na hatia nchini Ufaransa kwa kuhusika na mauaji ya halaiki ya mwaka 1994, ambapo takriban Watutsi 800,000 na Wahutu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu nawasalimu, Siku za hivi karibuni kumeshuhudiwa pesa ya ulaya ikipoteza thamani na kuwa sawa na dola ya kimarekani. Huku Urusi wakiendelea kupokea malipo yote kwa pesa yao, na India...
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema hatua muhimu ya kwanza imefikiwa katika juhudi za kuwezesha nafaka kusafirishwa kutoka Ukraine. Guterres ameeleza kwamba hatua hiyo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Watu 84 wamejeruhiwa na mmoja kufariki dunia kufuatia mvutano kati ya Maafisa wa Polisi na Waaandamanaji karibu na jengo la Bunge na katika Ofisi ya Waziri Mkuu Bado Wananchi wanasubiria Rais...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Kuna hili jambo linalozihusu Urusi, Ukraine na Ujerumani. Ujerumani inaitaka sana gesi ya urusi kwa ajili ya uchumi wake. Viwanda vingi hata vile vya kijeshi vinatumia umeme unaotokana na gesi...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa kawaida Ukraine ilikuwa na msimamo kama wa Urusi wa kutokuruhusu ndoa za jinsia moja. Lakini mabeberu wa nchi za magharibi wametumia kipindi hiki ambacho Ukraine inataka kuingia kwenye Umoja...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kumekuwa na uvumi wa muda mrefu kuwa Bri Gen Sultan Makenga kauawa vitani huko DRC. Hatimaye Leo zimevujishwa picha za maiti ya Makenga kwenye mitandao ya kijamii. Itoshe nisema hili ni pigo...
11 Reactions
36 Replies
4K Views
Miaka 10 tu inatosha kupima uwezo wako wa uongozi. Ghadaffi ALITAWALA Miaka 41 ALIKUWA na KITU GANI CHA ZIADA? Kuna watu wengi wanalalamika kupinduliwa Kwa ghadaffi Kwa madai ETI alikuwa na maono...
6 Reactions
115 Replies
5K Views
Mamilioni ya wakazi wa Shanghai Nchini China wamefanyiwa vipimo vya UVIKO-19 kutokana na kusambaa kwa Virusi vya Omicron na ikiwa maambukizi yatakuwa mengi kuna uwezekano wa kutolewa amri ya...
0 Reactions
1 Replies
760 Views
Nimesikiliza interview ya General Kagame akiongelea jinsi anavyoliona tatizo la huko Congo Mashariki. Kiufupi anasema bila kumung'unya maneno kuwa wasipopatana anajitayarisha kwa vita na kwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mchoro wa ubunifu uliounganishwa na mazingira ya kijiji ulichorwa kwenye ukuta wa nje wa makazi ya watu katika kijiji cha Lingjiao, Beijing, China.
1 Reactions
3 Replies
759 Views
Waziri Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ambaye anakaimu nafasi ya Urais wa Nchi hiyo kwa sasa baada ya Rais Gotabaya Rajapaksa kukimbia Nchi ametangaza Hali ya Hatari na muda wa Wananchi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
- Awali ya yote ningependa kuorodhesha baadhi ya jamii za kizungu , za watu weusi na zengine za watu wa Asia ya mbali. - Jamii za kizungu [ waingereza , wajerumani, wafaransa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
China imeanza ujenzi wa mfumo mpya wa rada utakaokuwa na uwezo wa kufuatilia kwa kina masuala ya anga za juu kwa lengo la kulinda vizuri Dunia. Mfumo huo mpya pia utaongeza uwezo wa ulinzi wa...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
The United States said Monday that it has intelligence indicating Iran may soon supply Russia with hundreds of unmanned aerial vehicles, including “weapons-capable” drones, to use in its war with...
12 Reactions
22 Replies
3K Views
Kamanda mkuu wa kundi la waasi la M23 Generali Sultani Makenga amerudi mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, akitokea nchi Jirani ambayo msemaji wa kundi hilo Maj. Willy Ngoma hakutaja...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Serikali ya Mali inawashikilia wanajeshi 50 wa Ivory Coast ikidai ni mamluki waliowasili Nchini humo kwa mgongo wa kuwa wanafanya kazi na Umoja wa Mataifa Msemaji wa Serikali ya Mali, Abdoulaye...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Walipua ghala la silaha wanatumia mfumo wa silaha aina ya HIMARS waliopewa na Marekani, ina uwezo wa kurusha mizinga ya masafa marefu na kutoweka kimya kimya. Ukianza kujibu pale shambulizi...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Waziri wa Ulinzi wa Ukraine amesema kuwa mfumo wa Ulinzi wa anga wa Israel maarufu kwa jina la Iron Dome hauwezi kuhimili kuzuia makombora ya Urusi nchini Ukraine. Waziri huyo aliyeshuhudia na...
21 Reactions
74 Replies
7K Views
Basil Rajapaksa ambaye pia ana Uraia wa Marekani amezuiwa na Maafisa wa Idara ya Uhamiaji kuondoka nje ya Sri Lanka. Bado haijafahamika alikuwa anaelekea wapi Rajapaksa alijiuzulu nafasi ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…