Jana niliona taarifa Kenya wamepeleka wanajeshi 900 kulinda amani Goma.
Hivi Congo kunauhitaji wa majeshi ya kulinda amani ama mazungumzo.
Mbaka sasa Congo kuna majeshi yanayo linda amani...
Democracts wamefanikiwa kupata viti 50 vya Wabunge huku chama anachotokea Donald Trump, Republican wakibaki na viti 49.
Rais Joe Biden amesema amefurahishwa sana na matokeo hayo huku akiwataka...
Most Democrats want someone other than Biden to run in 2024: Poll
A new Siena College-New York Times poll highlights the US president’s dwindling popularity amid domestic and international...
Wakati Jeshi la Russia likiendelea kurudi nyuma chaa ajabu bado askarI wa Ukraine wanaendelea kuwashambulia bila huruma askari wa Russia wanaorudi nyuma.
Russian sources are now also reporting a...
Tahtmini ya Utani wa hapa mtandaoni kati ya Wafuasi wa Zelensky (Pro Ukraine vs Pro Putin)
Prow Ukraine ni watu poa sana, wengi ni wapenda amani wasiopenda uonevu wa kijinga
Pro Ukraine...
Wakuu za kazi..
Donald Trump amekata tamaa na kuangukia pua kufuatia matokeo ya Uchaguzi wa Katikati ya Muhula..
Wagombea wake aliowapachika karibu wote wameangukia pua huku Democrats na Biden...
Wataalam wa mambo hii siyo 'act of aggression' kweli? Katika wakati mgumu kama huu unarusha ndege ya kijeshi, sio ya kiraia. Au ndiyo Congo wameamua kutokuwa wanyonge tena? Pia sidhani kama Kagame...
Nahisi waliopiga kura kujiunga na urusi ni mamluki wale 70000 waliohamishwa kwenda urusi maana sasa shangwe kila kona kushangilia ushindi wa kutwaa tena kherson kutoka mikononi mwa wavamizi.
Katika maisha ya kawaida, ukiona mtu anatoa vitisho vingi, basi ujue mtu huyo hana au ana uwezo mdogo wa kumkabili adui au mpinzani wake na hii hutokea mitaani na hata mashuleni katika ngumi za...
Rais wa Urusi Vladimir Putin ametangaza kukusanya wanajeshi wa ziada kwa ajili ya vita nchini Urusi - kulingana na shirika la habari linalomilikiwa na serikali TASS.
Anasema kuwa nchi za...
Kasi ya kusambaratika jeshi na nguvu ya Urusi ni kubwa kiasi kwamba natabiri hatoweza kuidhibiti Ukraine ijapokuwa tayari ameikamata pazuri.
Hapo sioni yeyote kuwa ni shujaa katika kuleta hali...
Urusi imeshindwa kupambana kijeshi imehamia kwenye kupiga mabomba ya maji kwa kusudi la kutesa wananchi wa Ukraine, ila hata hivyo taratibu tu, Ukraine wanaendelea kufunga fursa zote. Madude ya...
Ndege ya kivita ya DR Congo (Sukhoi-25) leo asubuhi iliingia katika anga la Rwanda na kutua katika Uwanja wa Ndege wa Rubavu Jimbo la Magharibi.
Rwanda haijachukua hatua yoyote ya kijeshi, lakini...
Hili kuna watu ambao hawawezi kulielewa ila anacho fanya China huku Afrika katika miaka ijayo tutakuja kukijutia
Mmoja alikuja usiku akatutawala
Mwingine amekuja mchana anataka kututawala
Sijui...
Hadi sasa ramani inakoelekea ni wazi kabisa Republicans wanaweza kumpendekeza kipenzi chao Mheshimiwa Trump achukue kiti cha uspika ambacho kwa sasa kipi kwa bibie Pelosi anaesubiri kung'oka...
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Kwa wasiofahamu, ni kwamba Nigeria inakwenda kufanya uchaguzi wake mkuu wa uraisi miezi mitatu...
1. Kujiondoa kwa Urusi kutoka Kherson kunaipa Ukrainia udhibiti wa barabara kutoka Crimea.
Kujiondoa kwa Urusi mji wa Kherson kwenye ukingo wa magharibi wa Mto Dnipro kunairuhusu ukreine kutishia...
Kwanza, nimejiuliza kuhusu vita ya Russia na Ukraine, kwamba pasingekuwa na mkono wa US tayari biashara ingeisha mapema sana. Saa hizi Ukraine yote ingekuwa imepambwa kwa bendera za Urusi tu...
System inamuogopa sana Trump, wanajua ana support kubwa sana ya wamarekani ukiachana na data zinazopikwa na cnn na ggogle aonekane hapendwi, kwa mara nyingine tena Trump kafumua mshono kajibu kwa...
Ukraine wanaendelea kukomboa miji iliyopigiwa kura za maoni na Warusi.
Hivi yule kamanda wa Urusi tuliyeaminishwa ndiye muuaji namba moja kule Syria, mbona sijaona chochote cha ajabu kwake...