International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Israel huwa hawakawii kulipua kila wakipata sababu. Suspected Israeli airstrikes reportedly occur in Damascus, Syria, early May 29. Suspected Israeli airstrikes have reportedly occurred at...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Vita vimechacha Bakhmut, wanajeshi wa Ukraine wanaendelea kupeleka moto huku Wagner wakiharakisha kutoka baada ya kujitangazia ushindi.......wanajeshi wa Urusi watachinjwa sana maana waliokolewa...
4 Reactions
72 Replies
4K Views
Russian authorities say Ukraine drone strike responsible for oil refinery fire; governor of Belgorod accuses Kyiv of shelling region. --- Russian security council deputy chairman Dmitry Medvedev...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Wengine tuliongea mapema kabisa kuwa Russia kakosea kuvamianua Ukraine ambayo Raisi myahudi wayahudi wana umoja sana Mtu.ukivamia nchi ambayo Raisi myahudi jiandae.kwa vita ya miaka 200 minimum...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni mwendo wa kushambulia nyumbani kwao sasa =========== Kyiv attacked Moscow with drones, Russia claims Russia's defence ministry has claimed Kyiv was behind a "terrorist" drone attack on its...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Faustin Archange Touadera amesema Nchi hiyo itapiga Kura ya Maoni Julai 2023 kwaajili ya kupitisha mabadiliko yatakayowezesha Rais aliyeko madarakani kuwania...
0 Reactions
7 Replies
962 Views
Atukana wakuu wa majeshi Urusi na kushangaa kama taifa walifikaje huku ambapo drones zinapiga Moscow ndani, haingii akilini..... Russian mercenary force boss Yevgeny Prigozhin issued...
2 Reactions
5 Replies
7K Views
Nchini Misri, wapenzi wa jinsia moja wananyanyapaliwa sana, na kwa muda mrefu kumekuwa na madai kwamba polisi wanawinda LGBT mtandaoni. Sasa BBC imepata ushahidi wa jinsi mamlaka zinavyotumia...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Mkuu wa Jeshi la Wanamaji la IRGC alionya jeshi la Marekani katika Ghuba ya Uajemi May 29, 2023 02:31 UTC [https://media]Alireza Tangsiri Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jeshi la Walinzi wa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Iran: Kombora la Hypersonic litazinduliwa hivi karibuni May 30, 2023 02:38 UTC [https://media] Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, SEPAH...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Moja ya askari wawili wa Ukraine aliyenusurika ameshangazwa na mbinu za kivita za Wagner,amesema wanapigana kama mazombi.Hata ukiwauwa unakuta wengine wanakuja kwa kasi wakikanyaga maiti za wenzao...
18 Reactions
69 Replies
7K Views
General Muhoozi wa Uganda ameapa kuwa Uganda itapeleka vikosi vya wanajeshi wake kwenda kuilinda Urusi endapo mabeberu watatishia usalama wa Russia, the mother land. Marekani imesikitishwa na...
14 Reactions
37 Replies
3K Views
Urusi inaendelea kutuma makombora mazito kuelekea Kyiv lakini yanapanguliwa, aisei mpaka sasa aina hii ya mashambulizi yangeelekezwa Afrika sidhani kama kuna taifa lingepona, muhimu sana na sisi...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Jana jumatatu Urusi ilifanya mashambulizi makali ya anga na kuharibu Patriot missile defence system ya pili. Katika mashambulizi hayo, pia bohari kubwa za silaha za NATO zilichomwa. Hayo...
5 Reactions
4 Replies
973 Views
Kiongozi wa Wagner amesema zoezi la kumkabidhi Biden mabaki ya miili ya wanajeshi wa Marekani waliouawa wakiipigania Bakhmut isikombolewe limeanza. Katika mchakato huo, ameanza na mabaki ya mwili...
7 Reactions
53 Replies
4K Views
Lab ya nyuklia iliyojengwa na Marekani nchini Ukraine imechakazwa vibaya na kuharibiwa nyang'anyang'a na makombora ya Urusi. Staff wa lab hiyo wanasema Urusi kwa makusudi imekuwa ikiipelekea lab...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
Mbabe wa vita kwa karne yetu Volodymyr Zelenskyy ametembelea wanajeshi walio mstari wa mbele na kutoa nishati kwa wanajeshi wasiokata tamaa kulinda nchi yao kwa gharama hata kama ni maisha yao...
10 Reactions
38 Replies
3K Views
Its a shame that a country as sane as the USA, could force other countries into supporting queer lecherous human behavior. And not only that, but that men can marry men, women can also marry...
6 Reactions
13 Replies
708 Views
Za asubuhi ndugu zangu, kwema? Kwa wale wanajamii forums wenzangu wafuatiliaji wa siasa za kibabe na za kimikakati za nchi za magharibi hasa Marekani. Bila shaka mtakubaliana na mimi kwamba sasa...
22 Reactions
210 Replies
17K Views
Nchi ya Congo na uongozi wake wanatutia aibu Afrika. Kwa miaka nenda rudi wamejitawala lakini wana mindset ya kufanyiwa mambo yote na wau wengine. Sasa hivi wanasumbuliwa na M23, lakini wao...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…