https://youtu.be/CZqDspnuYSk?si=UMrMe0lG0O0PZovA
https://www.youtube.com/live/x0IhM-veJIM?si=tkwDLfxodgRbbTWe
Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa wa Marekani, Kimberly Cheatle, alikabiliwa na ukosoaji...
Raisi wa Ukraine [emoji1255] V. Zelensky katika mahojiano na BBC kuhusu vita baina yake na Russia amejikuta akitaka kutokwa na machozi pale alipobananishwa na mwandishi wa habari baada ya kutakwa...
MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADAFFI
1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote
2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za...
Mahakama katika Umoja wa Falme za Kiarabu imewapa raia 57 wa Bangladesh kifungo cha muda mrefu kwa kufanya maandamano katika jimbo la Ghuba dhidi ya serikali ya nchi yao.
Washtakiwa watatu kati...
Salaam, najiuliza hawa mfano IDF huwa wanajuaje Millitary target zao sababu hayo ni maeneo ya siri, mfano wamepiga vitu kibao Yemen wanajuaje latitude hii au longtide hii kuna ghala la silaha au...
"It doesn't matter who they put at the top of the ticket," Johnson said. "If Kamala is the nominee, so be it. She is the co-author and the co-owner of the policies of the Biden administration, and...
U.S Mkurugenzi wa Huduma ya Ulinzi wa Viongozi (Secret Service) Kimberly Cheatle amejiuzulu baada ya shinikizo kutoka kwa wabunge kumtaka ajiuzulu kufuatia kushindwa kudhibiti shambulio la jaribio...
Wakazi wa Kijiji cha Lincolnshire nchini Uingereza wameanza kupokea maandalizi ya tamasha la ngono litakalofanyika katika makazi ya kijiji hiko.
Wageni mbalimbali kutoka pembe za dunia wameanza...
Komandoo wa Iran wameikamata meli ya Falme za Kiarabu iliyokua inapeleka Mafuta na gas kwenye meli za Kivita za Israel. Wakati huo huo Yemen wamesema watakilipua kisima Cha mafuta Cha Israel...
Ni kazi kubwa sana kupima uwezo wa kijeshi wa nchi, kuna vigezo vingi hutumika na pengine kwa malengo tofauti. Kuna vyanzo ranking huzingatia namba kwamba idadi ya zana na wanajeshi, hii ni rahisi...
Sekunde kabla risasi haijafyatuliwa Trump aligeuza kichwa kuangalia kulia, Risasi iliyolengwa kupenya ndani ya kichwa chake ikamkwaruza sikio, Chupu chupu.
PIA SOMA
- Marekani: Donald Trump...
Joe Biden aliongea na Waandishi wa Habari baada ya Kikao cha NATO ambapo akijibu swali alimtaja Makamu wa Rais wake, Kamala Harris kama "Makamu wa Rais Trump"
Hii ni Saa Moja tuu baada ya...
Wanaukumbi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Eilat Port: "Operesheni zimesimama kabisa katika Bandari ya Eilat kutokana na meli kushindwa kupita upande wowote kufika bandarini."...
Mwanahabari mmoja wa Italia aitwaye Giulia Cortese ameagizwa kumlipa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Giorgia Meloni fidia ya €5,000 (£4,210) kutokana na machapisho ya mitandao ya kijamii yanayodhihaki...
Eilat na Tel Aviv Inashambuliwa na drone na missile mpaka sasa haijulikani zimetoka wapi na Air defense za Israel zimelala usingizi wa pono 😁😁😁
⚡️BREAKING: Reports of the Iron Dome's failure to...
Wanaukumbi.
MAREKANI: Rais Joe Biden ametangaza kujiondoa katika kinyang'anyiro cha kuwania Urais kwa awamu ya pili
Kwa hatua hiyo, Chama cha Democrats kitatakiwa kuchagua Mgombea mwingine...
Hii ni rekodi ya pekee kwa Marekani na ninafikiri wale wanaojihusisha na majaribio ya kutaka kuwaua marais wa Marekani wanaweza kujifunza kitu. Kwamba uwezekano wa kukamatwa au kuuwawa hapo hapo...
Wanajeshi wa Mali watuhumiwa kuchinja magaidi wa jihad ya kiislamu na kuwatafuna nyama, kuna video ilikua inasambaa ila imefutwa.....yaani wote mashetani, binadamu wanafanyiana unyama kuzidi...
Rais wa Marekani mwenye umri mkubwa zaidi katika historia, Joe Biden, hivi karibuni amejiondoa katika kinyang’anyiro cha ugombea Urais nchini humo
Amejiondoa kutoka na umri na matatizo ya kiafya...