Wadau hamjamboni nyote?
Hezbollah imeanza kuishambulia vikali Israel kama walivyoahidi Ili kulipa kisasi dhidi ya mauaji ya makamanda wao wawili Ismail haniyeh na shukru
Hadi muda huu bado hali...
Baada ya Israel kumuua Kiongozi wa kisiasa wa HAMAS Ismail Haniyeh, inasemekana bado Israel inamuwinda Kiongozi wa kidini wa Iran Ayatollah Kamenei.
Kiongozi huyo wa kishia anadaiwa kutoa kauli...
Ikiwa ni siku ya tano ya maandamano yanayoendelea nchini Nigeria ya kupinga hali ngumu ya maisha na ukosefu wa ajira kwa vijana, huku raia wakitaka serikali ishuhulikie suala hilo kwa haraka...
Wadau hamjamboni nyote?
Ayatollah Ali Khamenei ameongoza maelfu ya watu kuaga mwili wa Jemedari na Kiongozi jasiri wa kundi la hamas Ismael haniyeh aliyeuawa na magaidi wa Kiyahudi.
Ama Kwa...
Breaking News ni rasmi kuwa Mossad ilimuajiri afisa Usalama wa kikosi maalum
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa mpya kabisa za muda huu
Aliyetega mabomu chumbani kwa kubwa la maàdui Ismael...
Kinachoendelea mashariki ya Kati ni maandalizi ya Vita kuu ya tatu ya dunia hapo baadae kidogo.
Vita ya 3 ya dunia iko karibu mno. Hii Vita itahusisha silaha za nuclear. Mabomu ya nuclear...
Kuna watu kwa sababu ya kukosa maarifa huwa wanapinga ulinzi wa Mungu juu ya Israel.
Wanadai Israel ailindwi na Mungu lakini inalindwa na MAREKANI, ulaya, UINGEREZA. Nataka kulifafanua hili...
Wadau hamjamboni nyote?
Kutokea Tehran Iran
Maofisa wa Serikali ya Iran waliofanikisha mauaji ya gaidi Mkuu Hamas Ismail Haniyeh aliyeuawa karibuni huko Tehran wameanza kukamatwa
Wakiokamatwa...
Wadau hamjamboni?
Mahandaki maalum Kwa Viongozi wakuu Israel yameansaliwa na idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel almaarufu shin bet
Mahandaki hayo yapo jijini Yerusalemu na yanauwezo mkubwa...
Yapo mambo mengi ambayo yametoa picha ya namna Israel na Marekani wanavyoshirikiana kimkakati ili kuhakikisha Israel inaitawala Gaza na Palestina yote bila upinzani.
Ni kweli Israel ilikuwa na...
Waziri Mkuu Sheikh Hasina ameripotiwa kujiuzulu na kuondoka katika mji mkuu wa Dhaka wakati kukiwa na maandamano makali ya kumtaka ajiuzulu
Uamuzi huo umekuja ikiwa ni muda mfupi tangu Umoja wa...
Hizi jumuiya huenda zimeshakufa.Kama zingekua hai kusingekuwa na uwezekano wa watu wa Gaza kuuliwa kinyama bila ya wao kuingilia kati au angalau kutoa matamko makali ya kulaani kinachotokea.
Na...
Mgombea nafasi ya urais kwa tiketi ya chama cha Democratic nchini Marekani Bibi Kamala Harris ameanza kumuwashia taa ya indicator mgombea wa chama cha Republican Bw. Donald Trump.
Hii ni kufuatia...
Hali gani?
Sifahamu Watibeli mnasalimiana vipi, hivyo naomba nitumie salamu ya kawaida ya kitanzania. Habari!
Nimeshawishika kuja na swali kufuatia vita na migogoro inayoendelea kati ya Israel...
Leo nimetamani kumchana makavu mchungaji wangu..
anadanganya kanisa eti mkono wa Mungu bado uko juu Ya Israel🤬🤬
Eti Mungu anailinda Israel dhidi ya wabaya wake ambao ni Arab nations, Jamani...
Hii ni kwa madai yale yale ambayo naye kama Ruto mapema alikuwa katupia masikio ya kenge:
----
President Bola Tinubu has told Nigerians protesting against a cost of living crisis that he has...
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani,Boris Pistorius, amesema kulitumia jeshi la nchi yake kuilinda Israel iwapo itashambuliwa na Iran si jambo linalohitaji kujadiliwa.
Kauli hiyo ya Ujerumani...
Hayakuwa mazungumzo bali kufokewa kama mtoto mdogo, kwenye kuambatana na kupewa maelekezo:
Majibu ya Natenyahu: "nimekosa mimi. Nimekosana sana. Nimekosa baba." Yobbo style.
Transcript nzima...
Israel imezungukwa maadui pande zote na wengine wenye uchumi mkubwa.
Kimsingi waarabu wote wanatamani Israel ipigwe, ifutwe kwenye ramani ya dunia.
Cha ajabu, wote Wamekwama, wanaiogopa. Nchi...