Rapa wa Marekani, Jacques Bermon Webster, maarufu kama "Travis Scott," amekamatwa na Polisi wa Ufaransa jijini Paris baada ya kuhusika katika ugomvi kwenye Hoteli ya Nyota Tano, 'George V,' mnamo...
Ile kampeni ya kuua viongozi na makamanda wa makundi pinzani kwa utawala wa Israel bado haijaonekana kufanya kazi kama ilivyokusudiwa.
Raisi Ibrahim raisi wa Iran alifariki kwenye ajali ya ndege...
Iran yadai Israel inapenda kuchochea migogoro na vita nchi nyingine lakini yenyewe Haina Uwezo Wala Nguvu za kuanzisha Vita dhidi ya Iran!
Wadau hamjamboni nyote?
Siyo maneno yangu hayo ni...
Israel ni ileile ya Isaka, Yakobo na Ibrahim. Hawa watu ni wapiganaji na ni wapenda Vita tangu hapo mwanzo. Sina haja ya kueleza hayo
Ila nataka kueleza mfanano wa Benjamin Netanyahu na Mfalme...
Biashara ya nje ya China imeendelea kukua licha ya vitendo vya nchi za Magharibi vya kujilinda kibiashara, hususan vita ya kibiashara ya China iliyoanzishwa na Marekani. Kuna mambo kadhaa ambayo...
Mkutano wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024 unatarajiwa kufanyika hapa Beijing kuanzia Septemba 4 hadi 6, na utakuwa na kaulimbiu ya “Kuungana kwa mikono...
Waziri wa mambo ya nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema uhusika wa Israel kwenye shambulio lililofanyika nchini Iran hivi karibuni ni jambo ambalo lahitaji kuthibitishwa. Waziri huyo...
Mashindano ya Urembo yamezua Mjadala mkali wa Ubaguzi baada ya watu Mtandaoni kudai kuwa Mshiriki Chidimma Adetshina (23) ni Mnaigeria, na hivyo kudai hawataki kuwakilishwa na Raia wa Kigeni...
Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
Hii ndio habari Donald trump aliyokuwa anasema Leo kwenye Aljazeera ...je Kuna ukweli wowote kuwa china..Korea ya kaskazini na urusi hawaiogopi tena marekani na kwamba mareka IPO katika hatari...
Hadithi za Mtume Muhammad (S.A.W) pia zinaelezea suala hili:
Mtume Muhammad (S.A.W) alisema: "Mtu ambaye anapigania ardhi yake kwa ajili ya kudhibitiwa kwake, ni shahidi." (Sahih Muslim). Hadithi...
Kuna uvumi Iran inawasaidia Israel kwa kujifanya adui wao ili awaingize mkenge adui wa kweli wa Israel, amesema Noah mahakouf Hammed wa Lebanon
Ameshikilia point Tatu kwamba
1. Iran Ana play part...
Toka Rais Biden akubali kujitoa kugombea Urais Kwa maslahi ya Chama chake na kumpa nafasi VP Harris,Hali ya uwanja wa vita vya kuelekea Pennsylvania Avenue ilibadilika haraka.
Utafiti wa kura za...
Wadau Hamjamboni nyote?
Haipoi hadi iishe na msako dhidi ya magaidi unaendelea kwa kasi ileile
Muda huu tayari IDF wameshafanya yao na aliyekusudiwa tayari kashatangulizwa mbele za haki...
Kilipuzi chenye ukubwa wa inchi 3x6 , sawa na tofali la kuchoma kilichotegwa chini ya kitanda na vijana wa Ansar al-Mahdi security waliokuwa wakilinda nyumba ya wageni mjini Tehran, Iran...
Iran imesema kwamba itaishambulia nchi ya Israel ndani ya masaa 24 yajayo Iran haijajulikana itafanya mashambulizi Gani lakini marekani wamesema kwamba Iran unaweza kuyatumia makundi yake...
🚨🇧🇫- Another coup attempt foiled.
Alright, folks, I think I will stop counting the number of coup attempts we’ve foiled so far. But here’s what @CapitaineIb226 revealed to us this Tuesday...
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa mpya hiyo kubwa la magaidi almaarufu Nael Sakhel ameuawa katika shambulizi la IDF huko Gaza
Soma zaidi hapo chini: Mungu ibariki Israel
=============
IDF: Top...
Serikali imetoa tahadhari ya kutokea kwa Mawimbi Makubwa ya Baharini (Tsunami) baada ya Miji ya Kyushu na Shikoku kupigwa na matetemeko mawili yenye ukubwa wa Richa 7.1 na 6.9
Miji iliyopewa...
Michezo ya 33 ya Olimpiki ya Majira ya joto inafanyika huko Paris, nchini Ufaransa. Mwanariadha wa Marekani Erriyon Knighton alikimbia kwa sekunde 19.99 katika mchuano wa mita 200 kwa wanaume...