International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Saluni za nywele na urembo zinatarajiwa kufungwa wiki kadhaa zijazo hali ambayo inatarajia kusababisha ajira 60,000 kupotea. Uongozi wa Taliban baada ya kuingia madarakani Mwaka 2021 uliruhusu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nafikiri hata sponsor wao ajitafakari misaada anayowapa Kama inafikia lengo, unalengaje Banda la kuku Wakati adui wako anaua viongozi wa rank za juu Kila siku. Hadi second commander KUTOKA kwa...
12 Reactions
68 Replies
3K Views
Ndege ya Kivita ya Marekani imetunguliwa huko Syria na Pilot aliwahi kueject na kuangukia kwenye tower za umeme na kutokomea kusiko julikana akiogopa kuingia mikononi mwa Syria Army. BREAKING...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Satellite za Urusi zilikua zina wazoom TU, makomando maalumu kabisa wa Marekani,Israel na uingereza wakipanga,mipango ya kwenda kupiga mission ya kibabe kabisa huko Yemen,wakitoka kwao ,wakiingia...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Hadi leo karibu 1/3 ya jeshi lote la navy la US limeshaizunguka Iran kwa lolote ikitokea kajaribu kuishambulia Israel. Watafiti wanasema US imetoa karibu meli zake zote Pacific na zimeenda kukaa...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Kumbe ule music wa Hezbullah kuwauwa kuku kwenye banda kulikuwa na majogoo wakubwa wamenono 😄 The commander of Israel’s Unit 8200 is a closely guarded secret. He occupies one of the most...
16 Reactions
100 Replies
4K Views
Katika kile kinachoonekana kuchoshwa na tabia ya mataifa ya Nato ya kuinyima haki ya kushambulia ndani ya Russia kwa kutumia silaha zao za misaada, hatimaye Ukraine imefanikiwa kuweza kutengeneza...
0 Reactions
1 Replies
445 Views
Ukraine Yasema Imejaribu Kombora Jipya la Ndani Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesema kuwa nchi yake imefanikiwa kufanya jaribio la kwanza la kombora jipya lililotengenezwa ndani ya nchi...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Takwimu iliyotolewa na jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani (Mpox) ya mwaka 2024 ikiwa ni zaidi ya vifo 450. asilimia 75% ya walioathirika zaidi na...
0 Reactions
0 Replies
417 Views
Sitaki kujua sana kuhusu huyu Mungu wa namna hii ila maagizo yake kwa watu wake hayapaswi kuendelea kuchukuliwa kawaida kwani yanahamasisha na kuchochea mauaji makubwa yanayo tekelezwa na...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Kiongozi mkuu wa Iran alifungua mlango Jumanne kufanya upya mazungumzo na Marekani kuhusu mpango wa nyuklia unaoendelea kwa kasi wa nchi yake, akiiambia serikali yake ya kiraia "hakuna madhara"...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Inaitwa Afghanistan,the grave yard of Empires Nchi ambayo Taliban wamewanyima Haki wanawake. Hapo wanatamani Kafir USA arudi kuwatawala. My Take Hata ungekuwa wewe huwezi tamani kuishi maisha ya...
10 Reactions
115 Replies
5K Views
Wanaukumbi. Kama kawaida ya Jeshi la Israel kwa kujisifia ujingq. ⚡️🇮🇱 NDANI TU: Norit Yohanan - Kan Kiebrania: Taarifa za Wapalestina zinasema kuwa jeshi la Israel halikumkomboa Farhan Al-Qadi...
2 Reactions
45 Replies
2K Views
Juzi juzi hapa mara baada ya jeshi la Ukraine kuivamia Russia hakika habari motomoto za jeshi la Ukraine kusonga mbele zilikuwa zikiandikwa kwa mbwembwe na karibu vyombo vyote vya habari vya...
17 Reactions
34 Replies
3K Views
https://www.jamiiforums.com/threads/ceo-wa-mtandao-wa-telegram-pavel-durov-akamatwa-katika-uwanja-wa-ndege-nchini-ufaransa.2249872/
2 Reactions
1 Replies
671 Views
Kanali Anan Abbas, Mkuu wa Udhibiti katika chumba kikuu cha operesheni cha Kamandi ya Kaskazini, alifichua katika mahojiano na chombo cha habari cha Maariv siku ya Jumanne kwamba operesheni ya...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Huyu bwana wazazi wake ni makuburu wa Africa Kusini kwa maana ya kwamba ni wahamiaji kutoka Ulaya, yeye sasa hivi ni mhamiaji wa US kutoka Africa Kusini, alirithi pesa kutoka mgodi wa rubi wa baba...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Jina: Kaid Farhan al-Qudi, Baba wa watoto 11 Dini: Muislamu Alitekwa October 7 mwaka jana Uraia: Israel Asili:Muarabu Kikosi cha Shayetet 13, Brigedi ya 401 kilidiriki kufanya maamuzi magumu...
1 Reactions
4 Replies
660 Views
Wadau hamjamboni nyote? Israel yafanya kufuru Leo asubuhi Iko hivi Hezbollah walishajiandaa kuisambaratisha Israel hasa maeneo ya kati na kaskazini Hata hivyo idarayaza ujasusi za Israel...
18 Reactions
129 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…