International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Hii taarifa ilitoka siku 2 zilizopita. Sijui kama imejadiliwa humu ama lah. Lakini hebu tuijadili. Serikali ya Marekani imeishitaki kampuni ya Apple kwa kuhodhi soko na biashara ya simu zake na...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanakumbi. Aysenur Ezgi, Mmarekani mwenye hadhi ya Uturuki, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na wanajeshi wa Israel katika mji wa Beita. Aysenur alipigwa risasi kichwani...
2 Reactions
68 Replies
3K Views
Habari zenu wanabodi, Kwa namna siasa za marekani zinaendelea ni dhahiri shahiri kuwa Trump ana mengi sana ya kupoteza iwapo atashindwa kuingia pale White House mwaka kesho. Siku ya Ijumaa, Jaji...
4 Reactions
2 Replies
556 Views
Walinzi watatu wa Israel wameuawa kwa kupigwa risasi kutokea upande wa mpaka wa Jordan kwenye kivuko pekee cha daraja linalounganisha ukingo wa magharibi wa Palestina na Jordan. Uchunguzi umeanza...
0 Reactions
6 Replies
917 Views
Mataifa ya Uturuki na Iran yapo mbioni kutengeneza meli kubwa za kijeshi zitakazobeba droni kushambulia adui badala ya zile meli zilizozoeleka na zinazohofiwa ambazo huwa zinabeba ndege za kijeshi...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Safari ya Donald Trump kuelekea White House bado ngumu Bado Republican Walikosea kumsimamisha Trump. Alikutana tu na weak opponent Joe Biden. Sasa anapambana na mtu mwenye misuli ya Kisiasa na...
8 Reactions
65 Replies
3K Views
Harusi kubwa imefanyika huko Norway kati ya binti wa mfalme wa nchi hiyo anayeweza kuwa malkia pamoja na kijana mmoja mmarekani mweusi kutoka Carlifornia anayeitwa Shaman. Wapo waliochukia harusi...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
Mgombea urais wa upinzani, Edmundo González, amekimbia Venezuela baada ya serikali kutoa hati ya kukamatwa kwake, kufuatia upinzani kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais wa Julai 2024. Aidha...
1 Reactions
4 Replies
759 Views
Umoja wa falme za kiarabu umekamilisha ujenzi wa kinu cha nyuklia ambacho kitakuwa ni cha mwanzo katika maeneo ya mashariki ya kati. Kinu hicho kitatoa jumla ya 40 Terrawatts za umeme kwa mwaka...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Maelfu ya watu wamejitokeza jijini Paris Julai 7, 2024 kufanya maandamano ya kupinga uamuzi wa Rais Emmanuel Macron kumteua Mwanasiasa, Michel Barner kuwa waziri mkuu. Maandamano hayo...
1 Reactions
1 Replies
837 Views
Ndugu hao walimdanganya Jordan kwa kujifanya Msichana wa umri wake kupitia Instagram na kumshawishi atume picha za faragha. Baada ya kupata picha hizo, walimtishia kuzisambaza ikiwa asingewalipa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ndiyo ile maana kamili ya vyama kutokuwa mama wa waungwana: Uwaambie nini wale chawa kindaki ndaki wa pande za kwetu? Kwamba hayapo wanayosimamia ila vyama.
6 Reactions
66 Replies
2K Views
Halafu ukiangalia wote watu weusi, au ndio maana trump anawekaga Sheria Kali anasema US kunaingia watu kiholela. Unaweza ukasema Kariakoo
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakatoliki na waislam wanasheherekea upendo na huruma ya Mwenyezi Mungu kwa binadamu huko Indonesia. Makanisa na misikiti ni nyumba za Mwenyezi Mungu kwani ndani yake hutajwa sana. Imamu mkuu na...
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Nomcebo Zuma, 21, atakuwa mke wa 16 wa Mfalme Mswati Il. Binti huyo alikuwa miongoni mwa mamia ya wasichana waliocheza ngoma kwa ajili ya Mfalme wa Eswatini katika sherehe za kitamaduni siku...
8 Reactions
71 Replies
6K Views
Rais wa Urusi Mh Putin amesema baada ya Rais Biden kujiondoa kwenye Uchaguzi sasa Taifa lake linamuunga mkono Mh Kamala Harris Source: Ayo TV
1 Reactions
3 Replies
262 Views
Uchaguzi wa bunge la ulaya umemalizika jana kwa raia kutoka nchi 27 kupiga kura kuchagua wabunge watakaowawakilisha katika bunge la ulaya ambapo vyama vya siasa vya mrengo wa kulia vimeonekana...
1 Reactions
5 Replies
902 Views
Akina Ritz Webabu ChoiceVariable FaizaFoxy walikuwa wanampotosha sana Putin. Akajikuta yeye ni Mwaaaaaaamba. Akasema ana operation ya siku chache kumwondoa Rais wa Ukraine. Mwaka wa pili...
28 Reactions
119 Replies
5K Views
Huko kwenye jimbo la Georgia nchini Marekani, mtoto wa miaka 14, Colin Gray alivamia shule aliyokuwa anasoma ya kuitwa Apalachee High School. Mtoto huyo ambaye insadakika kuwa alichukua bunduki...
8 Reactions
48 Replies
2K Views
Internal Polling Shows Harris/Walz Sliding into the Political Abyss; Even Walz Family are backing Trump! September 05, 2024 Two sources in Washington, DC, work for the enemy at the US Capitol...
1 Reactions
4 Replies
728 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…